sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,816
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ushahidi huu upo lwenye page ya mbea maarufu soudy brown huko instagram ambapo zaidi ya nusu ya wafuatiliake wake ni vidume mjini!Jamaa anakaribia kufikisha followers million moja lakini ndio hivyo mashabiki wake kwa asilimia kubwa ni wanaume ambao ni mara 2 ya asilimia ya wanawake wa mjini walio bize na laptop simu na vibegi mgongoni!Huu ni ushahidi tosha wa kwa nini marioo wameongezeka mjini..