Ushakutana na changamoto kama hii?

Fisher_8

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
80
Reaction score
225
Good morning JF!

Bado huna ajira. Una siku ya pili huna hata mia mbovu tangu Jumapili. Muda wa kodi umefika unadaiwa. Asubuhi ya leo ni simu kutoka kwa mama yako huko kwenu ndio inakuamsha kukupasha habari kuna changamoto imejitokeza inakupasa uende, acha tu kukosa nauli ya kukufikisha huko huna. Bali changamoto yenyewe inahitaji pesa.

Sijui hata nimekosa nini kwa Mungu..😢😢
 
Duh! Pole mkuu ndio changamoto zinazitupata. Mwambie maza ukweli huna kitu ila ukipata uwakumbuke
 
Mzee as long una pumzi....una afya njemaa sema alhamdulilaaah hiyo ni zawadi kubwa sanaa.unaweza kujiona unachangamoto ukaadisia wenginee kumbee zako watu wanaona afadhali.kodi imeisha jpili so inasiku mbili unadaiwa, mwambie mwenye nyumba akivumilie atakuelewa, pili nyumbani unaambiwa kuna changamoto uwende nahuli huna,mwambie mzazi kwasasa Hali emebana kidogo utajitaidi ukipata pesa unde.usianze kukufuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…