Fisher_8
Member
- Jul 26, 2019
- 80
- 225
Good morning JF!
Bado huna ajira. Una siku ya pili huna hata mia mbovu tangu Jumapili. Muda wa kodi umefika unadaiwa. Asubuhi ya leo ni simu kutoka kwa mama yako huko kwenu ndio inakuamsha kukupasha habari kuna changamoto imejitokeza inakupasa uende, acha tu kukosa nauli ya kukufikisha huko huna. Bali changamoto yenyewe inahitaji pesa.
Sijui hata nimekosa nini kwa Mungu..😢😢