Ushamba mzigo!

Ushamba mzigo!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge
images (1).jpeg

size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha kijani,hicho kidonge nilivyokiona nikasahau hata nilichokuwa natafuta maana ukubwa ndio ulinitatanisha.
nikaanza kujiuliza ktk hawa wanaokaa humu ndani ni nani anakunywa hichi kidonge na atakuwa anaumwa nini..??🤣

ilibidi nikae kwanza pembeni nitafakari,nilete sura ya mtu mmoja mmoja nimtafakari huku nikiangalia kile kidonge vyema hapo huruma ikanijia,nikaamua nikirudishe nilipokitoa lkn bado maswali yalikuwa yakinikita!.

Niliamua kutokumuuliza mtu yoyote maana sikutaka kuwa kikwazo ila ndani yangu nikawa na mkanganyiko!.

sasa kwa jinsi ushamba ulivyomzigo siku ya siku nashangaa kinachukuliwa kile kidonge kikatiwa kwenye maji kikalainika,maji yakawekwa kwenye chupa nikaitwa nikaambiwa haya mdhibiti huyo ng'ombe tumnyweshwe hii dawa!.
hapo ndo nikajua kuwa kilikuwa ni kidonge cha ng'ombe na ng'ombe mwenyewe alikunywa kwa staili hiyo!.. ilibidi nicheke tu na ndo nikawaambia ukweli ikawa kituko tupu!.

Kuna muda ukipata wasaa uliza utolewe ushamba!.
 
Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge
View attachment 3127250

size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha kijani,hicho kidonge nilivyokiona nikasahau hata nilichokuwa natafuta maana ukubwa ndio ulinitatanisha.
nikaanza kujiuliza ktk hawa wanaokaa humu ndani ni nani anakunywa hichi kidonge na atakuwa anaumwa nini..??🤣

ilibidi nikae kwanza pembeni nitafakari,nilete sura ya mtu mmoja mmoja nimtafakari huku nikiangalia kile kidonge vyema hapo huruma ikanijia,nikaamua nikirudishe nilipokitoa lkn bado maswali yalikuwa yakinikita!.

Niliamua kutokumuuliza mtu yoyote maana sikutaka kuwa kikwazo ila ndani yangu nikawa na mkanganyiko!.

sasa kwa jinsi ushamba ulivyomzigo siku ya siku nashangaa kinachukuliwa kile kidonge kikatiwa kwenye maji kikalainika,maji yakawekwa kwenye chupa nikaitwa nikaambiwa haya mdhibiti huyo ng'ombe tumnyweshwe hii dawa!.
hapo ndo nikajua kuwa kilikuwa ni kidonge cha ng'ombe na ng'ombe mwenyewe alikunywa kwa staili hiyo!.. ilibidi nicheke tu na ndo nikawaambia ukweli ikawa kituko tupu!.

Kuna muda ukipata wasaa uliza utolewe ushamba!.
Kama nakuona mwanzoni ulivyodhani ni kwa ajili ya binadamu!!
 
niliishiwa pozi mkuu nikaanza kuangalia watu nani anaumwa na atakuwa anaumwa nini mpk apewe kidonge chote hichi...🤣
 
Bora ulikaa kimya mimi ningeuliza kabisa, huyo ambaye anaumwa halafu baba mwenyenyumba sijui
 
mh! hivyo mi sivijui ila kile tulimpiga kabali ya mdomo akanywa nafikiri kilikuwa cha minyoo!..

wataka kusema ng'ombe nao wanabawasiri..??
Wee komwee una nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom