Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

Yeye kasema ni mwanamke,anajua maumbile yake yeye na sio wewe

Ila cha ajabu,wewe ambae hujawahi ona maumbile yake you have the audacity ya kumpangia jinsia yake as if wewe ndio muumbaji

Sometimes tuachane na watu walivyo,tujifunze kujitenga na mambo ya mtu binafsi

Kasema ni mwanamke,then what?

Muacheni aishi bwana
 
mkuu upo? Kitambo hujang'aa humu
 
Huyo Loveness hajajitambulisha kama mwanaume, yeye ni mwanamke. Ladyboy ni wale wanaojitambulisha kuwa ni jinsi nyingine tofauti na jinsi waliozaliwa nayo. Wa huko Thailand wengi wanajitambulisha kama wanawake ili hali ni wanaume wenye uume kabisa.

Warunisha misuli wanawake wengi wanakuwa kama loveless sababu wanatumia products za ku boost testosterone au wanazaliwa na testosterone nyingi. Yule hana uume ni mwanamke kabisa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1700417571204.jpg
    40.4 KB · Views: 3
Kwaiyo kwa lugha nyepesi ni dume jike?
 
Uyu mwanamke mbona
Ni mwanamke ndio . Huyo anayeleta mambo ya ladyboy hata hajui maana ya transgender. Hawa lady boys wamezaliwa wanaume lakini wanajitambulisha kama wanawake, na wamebadilisha mionekano kabisa na kuwa kama wanawake
 
Nchi imefungulia laana hadi naogopa
 
Kama tuliamu vidudu vyetu tuvifunike Kwa busara tu kwamba vinatofautiana ukubwa pande zote huku Siri za watu zikisitiriwa je si busara kuacha mtu aseme ana kidudu au Hana?Hebu Sasa tufikirie mengine maana naona tunapoelekea tutataka Ms Tarimo aweke nyeti zake hapa,and that is bullcrap
 
Kwa mujibu wa loveness ni mwanamke na ana jinsia ya kike.

Hayo maswala ya ladyboy yeye yanamuhusu vipi?
 
Ni mwanamke aliye jiharibu na mazoezi mazito kiasi Cha kupoteza wajihi wa kike.

Mfatilie utagundua hakuwa hivi, nadhani michezo ya kutunisha misuri ndio imemuharibu.
Ww ndio unaona kaharibika kwa mtazamo wako
 
Si wanazaliw na jinsia 2#
Hapana ni mashoga wanaotumia sindano au vidonge vyenye hormone za kike.
Hiyo ndo sababu wanaota matiti, hawaoti ndevu au ndevu zinakufa, wanaota hips.

Lady boy= transgender
 
Lady body usipokuwa makini anakukula na wewe kiboga
 
Nakukatalia Loveness ni mwanamke na aliwahi kushrki mashindano ya Wadada Watunisha misuli kenya mwaka 2019 na alishinda...
Tatzo wabongo wengi ni Limbukeni.. sana
Kwa mfano kuna watu wengi tu wenye Kariba yake na wapo tangu zamani..
Kama wafuatao Dayana cadeau,Sara backman ,Yaxeni ,Debbie Lazesky ......wako wengi sana Tatzo ulimbukeni ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…