Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
umeandika mashudu mtoto wangu......uhusiano uliopo kati ya lady boy na loveness hujatuwekea hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kasema ni mwanamke,anajua maumbile yake yeye na sio weweNiwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.
Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.
Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.
Hivyo tu
Wadiz
mkuu upo? Kitambo hujang'aa humuYeye kasema ni mwanamke,anajua maumbile yake yeye na sio wewe
Ila cha ajabu,wewe ambae hujawahi ona maumbile yake you have the audacity ya kumpangia jinsia yake as if wewe ndio muumbaji
Sometimes tuachane na watu walivyo,tujifunze kujitenga na mambo ya mtu binafsi
Kasema ni mwanamke,then what?
Muacheni aishi bwana
Ni mwanamke ndio . Huyo anayeleta mambo ya ladyboy hata hajui maana ya transgender. Hawa lady boys wamezaliwa wanaume lakini wanajitambulisha kama wanawake, na wamebadilisha mionekano kabisa na kuwa kama wanawakeUyu mwanamke mbona
Nchi imefungulia laana hadi naogopaNiwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.
Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.
Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.
Hivyo tu
Wadiz
Lady boy ni shoga aliyechangamkaIts better lady boy leather than hawa gay
Si wanazaliw na jinsia 2#Lady boy ni shoga aliyechangamka
Ww ndio unaona kaharibika kwa mtazamo wakoNi mwanamke aliye jiharibu na mazoezi mazito kiasi Cha kupoteza wajihi wa kike.
Mfatilie utagundua hakuwa hivi, nadhani michezo ya kutunisha misuri ndio imemuharibu.
Hapana ni mashoga wanaotumia sindano au vidonge vyenye hormone za kike.Si wanazaliw na jinsia 2#
Si amesema mzigo anatoa?Kwa hiyo ni Me au Ke? Na waliokua nae wanasemaje?
Anyway, jibu analo mwenyewe
Nakukatalia Loveness ni mwanamke na aliwahi kushrki mashindano ya Wadada Watunisha misuli kenya mwaka 2019 na alishinda...Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.
Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.
Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.
Hivyo tu
Wadiz