Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

Mnaosema loveness ni mwanamke mna uthibitisho gani kuwa ni mwanamke? Mlishawahi mgegeda mkaona ni mwanamke? Sura ile ni ya dume acheni kutuaminisha ati nyeupe iwe nyeusi
 
Huyu lovenes akamatwe apigwe picha nyeti zake tuzione, full stop
 
Reactions: BRB
Kingine asingeweza kushiriki kwe ye mashindano ya Wanawake wakati ye ni mwanaum...
Watu wana mihemko ya ajabu tu
Kabisa, mashindano ya wanawake hayo angekua mwanaume asingeshiriki.

Tumefunga uzi. LOVENESS NI MWANAMKE.
 
Kingine asingeweza kushiriki kwe ye mashindano ya Wanawake wakati ye ni mwanaum...
Watu wana mihemko ya ajabu tu

Watakuja kukwambia kila kitu kinawezekana kikubwa connection[emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya kuja Social Media ndo tunawajua wachaga vizuri sana.
 
Hujawahi toka nje ya Tandale kwa mtogole unaanza kuongelea mambo ya asia.
 
Umekuja mwa ni ya kurekebisha na kuweka ujuaji, lakinj ndio umekosea zaidi

Ladyboy ni wanaume ambao wameamua kuishi kama wanawake, hadi mavazi yao ya kike. Utofauti wao na gays ni kuwa gays sio lazime awe namuonekano au mavazi ya kike

Huyu ni mwanamke Ila ana muonekano wa kiume na mavazi yake ni ya kiume.

Jina zuri ulipaswa kutumia kwa huyu ni FTM(female to male)
 
wewe kama huelewi kitu nyamaza huyo mdada ni mwanamke pure,wazazi wake,viongozi wa kanisa na waalimu wake wote walishamkagua
 
We mvivu sana kusimulia....umeenda kunicopia google tena!Haya Thanx anyway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…