Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingine asingeweza kushiriki kwe ye mashindano ya Wanawake wakati ye ni mwanaum...Ni mwanamke hana dusheView attachment 2819925
Kabisa, mashindano ya wanawake hayo angekua mwanaume asingeshiriki.Kingine asingeweza kushiriki kwe ye mashindano ya Wanawake wakati ye ni mwanaum...
Watu wana mihemko ya ajabu tu
Kingine asingeweza kushiriki kwe ye mashindano ya Wanawake wakati ye ni mwanaum...
Watu wana mihemko ya ajabu tu
Connection na mashindano yalifanyika Kenya 😅😅Watakuja kukwambia kila kitu kinawezekana kikubwa connection[emoji1787][emoji1787]
Connection na mashindano yalifanyika Kenya [emoji28][emoji28]
Kwenye ukaguzi inamaana aling'oa kwanza au
wewe kama huelewi kitu nyamaza huyo mdada ni mwanamke pure,wazazi wake,viongozi wa kanisa na waalimu wake wote walishamkaguaNiwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.
Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.
Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.
Hivyo tu
Wadiz
We mvivu sana kusimulia....umeenda kunicopia google tena!Haya Thanx anywayThe term "ladyboy" is commonly used in Thailand to refer to a transgender woman or an effeminate gay male. In Thai culture, the term "kathoey" is often used to describe individuals who were assigned male at birth but identify and live as women. It's important to note that the term "ladyboy" can be considered derogatory by some individuals, so it's always best to use respectful language when referring to transgender or gender non-conforming individuals.