Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Nikiri tu yakuwa miaka mingi iliyopita mimi nilikuwa mshamba sana wa magari kuazia gari moshi na mabasi ya mikoani.
Siku moja nasafiri kutoka Arusha kuja Dar na basi maarufu sana kipindi hicho Buffalo nilibahatika kukaa karibu na mtoto mmoja matata sana kipindi hicho nilikuwa na kati ya miaka 20 to 22 kutokana na muonekano wangu very handsome by then bishoo haswa mtu asingeweza kunidhania kuwa natapika sana kwenye gari.
Yule binti akaanza kuniongelesha mimi nilikuwa namjibu tu very short coz sikupenda mazoea naye mana angenizoea huenda angenicheka!
Nikavumilia kutapika kishenzi kutoka Arusha mjini to Boma ng'ombe nikaanza kuhisi kichefuchefu hatari na kuanza kujizui ebwana nikajizuia nikaona nakosa pumzi mana nikiangalia ni mm tu gari zima natapika aisee nilijiona mdhaifu sana.
Kwakuwa yule mrembo alikaa upande wa dirishani ikabidi nijikaze nimwambie najisikia vibaya niombe nikae dirishani but kabla ya hayo ilibidi nimpange yakuwa ninaumwa malaria kali sana ili asinione mshamba, nikajiongelesha kwa sauti "Hii malaria isiponiua basi itanikomaza kiaskariš¤£[emoji28]" aaah wapi siumwi malaria wala nini ni ushamba tu natapika tena gari ikirudi riverse au ikiwa silencer ndio kabisa.
Baada ya hapo akaniambia "pole but vp umepima"? Nikamjibu ndio na ndio maana naenda Dar kwa mzee kutibiwa akasema poa ebwana kipindi hicho simu ilikuwa kumiliki ni mtiti uwe tajiri au mtoto watajiri la sivyo ningechukua namba ya yule binti alivyokuwa mkarimu.
Wakati sasa ananipisha niende upande wa dirishani nikajizuia kutampika nikamtapikia kuanzia kifuani mpaka mapajani tena tapiko lenye harufu kali kweli but hakujali akatoa khanga na kujifuta akanifuta na mimi tukaendelea na safari aisee.
Niliona aibu sana mana mtoto wa watu alikuwa msafi sana ilibidi gari zima watu waniangalie aisee yani namna nilivyokuwa nateseka nikisafiri nilikuwaga naona safari ndefu kama kifo ila nikipanda hiace au tax nilikuwa sitapiki sijui kwanini.
Baada ya kuzoea safari hizo nenda rudi nenda rudi hatimaye ushamba ule uliniisha nikawa naipebda sana safari ndefu.