Aaaahsio allergy kitaalam inaitwa resistance yani akili yako unakataa kuona miti inarudi nyuma, kuona mbali na kukukuta mda huo huo, mitikisiko nk hivyo mwili wako unapinga ndio mana unatapika ukiamini kuwa kuna kjtu umekula/kiko tundoni kinakupa shida
Mmmmmmmh nyuma sikai labda siti za mbele zijae, mie napenda kukaa mbele kule na derevaMimi nnavyopenda siti za nyuma sasa hasa kwenye daladala. Nikiingia yale magari kama yale ya gongolamboto naenda kujichimbia kwenye konaa
sio wewe tu hata bashite ana tatizo kama hilo ila yeye anatapikaga kwenye ndegeNikiri tu yakuwa miaka mingi iliyopita mimi nilikuwa mshamba sana wa magari kuazia gari moshi na mabasi ya mikoani.
Siku moja nasafiri kutoka Arusha kuja Dar na basi maarufu sana kipindi hicho Buffalo nilibahatika kukaa karibu na mtoto mmoja matata sana kipindi hicho nilikuwa na kati ya miaka 20 to 22 kutokana na muonekano wangu very handsome by then bishoo haswa mtu asingeweza kunidhania kuwa natapika sana kwenye gari.
Yule binti akaanza kuniongelesha mimi nilikuwa namjibu tu very short coz sikupenda mazoea naye mana angenizoea huenda angenicheka!
Nikavumilia kutapika kishenzi kutoka Arusha mjini to Boma ng'ombe nikaanza kuhisi kichefuchefu hatari na kuanza kujizui ebwana nikajizuia nikaona nakosa pumzi mana nikiangalia ni mm tu gari zima natapika aisee nilijiona mdhaifu sana.
Kwakuwa yule mrembo alikaa upande wa dirishani ikabidi nijikaze nimwambie najisikia vibaya niombe nikae dirishani but kabla ya hayo ilibidi nimpange yakuwa ninaumwa malaria kali sana ili asinione mshamba, nikajiongelesha kwa sauti "Hii malaria isiponiua basi itanikomaza kiaskariπ€£[emoji28]" aaah wapi siumwi malaria wala nini ni ushamba tu natapika tena gari ikirudi riverse au ikiwa silencer ndio kabisa.
Baada ya hapo akaniambia "pole but vp umepima"? Nikamjibu ndio na ndio maana naenda Dar kwa mzee kutibiwa akasema poa ebwana kipindi hicho simu ilikuwa kumiliki ni mtiti uwe tajiri au mtoto watajiri la sivyo ningechukua namba ya yule binti alivyokuwa mkarimu.
Wakati sasa ananipisha niende upande wa dirishani nikajizuia kutampika nikamtapikia kuanzia kifuani mpaka mapajani tena tapiko lenye harufu kali kweli but hakujali akatoa khanga na kujifuta akanifuta na mimi tukaendelea na safari aisee.
Niliona aibu sana mana mtoto wa watu alikuwa msafi sana ilibidi gari zima watu waniangalie aisee yani namna nilivyokuwa nateseka nikisafiri nilikuwaga naona safari ndefu kama kifo ila nikipanda hiace au tax nilikuwa sitapiki sijui kwanini.
Baada ya kuzoea safari hizo nenda rudi nenda rudi hatimaye ushamba ule uliniisha nikawa naipebda sana safari ndefu.
Wengi wanachukulia hivyo. Kuna kipindi tuliendaga tour, mimi nilitapika wakati wa kwenda. Siku moja darasani kukawa na argument na mkaka mmoja alipozidiwa akaniambia utaniambia nini we mshamba unayetapika kwenye magari. Kwa kweli nilijisikia vibaya, nilimchukia, alipofeli mtihani wa form two nilifurahi kishenziKutapika ni ushamba?
Atajua mwenyewesio wewe tu hata bashite ana tatizo kama hilo ila yeye anatapikaga kwenye ndege
Nikiri tu yakuwa miaka mingi iliyopita mimi nilikuwa mshamba sana wa magari kuazia gari moshi na mabasi ya mikoani.
Siku moja nasafiri kutoka Arusha kuja Dar na basi maarufu sana kipindi hicho Buffalo nilibahatika kukaa karibu na mtoto mmoja matata sana kipindi hicho nilikuwa na kati ya miaka 20 to 22 kutokana na muonekano wangu very handsome by then bishoo haswa mtu asingeweza kunidhania kuwa natapika sana kwenye gari.
Yule binti akaanza kuniongelesha mimi nilikuwa namjibu tu very short coz sikupenda mazoea naye mana angenizoea huenda angenicheka!
Nikavumilia kutapika kishenzi kutoka Arusha mjini to Boma ng'ombe nikaanza kuhisi kichefuchefu hatari na kuanza kujizui ebwana nikajizuia nikaona nakosa pumzi mana nikiangalia ni mm tu gari zima natapika aisee nilijiona mdhaifu sana.
Kwakuwa yule mrembo alikaa upande wa dirishani ikabidi nijikaze nimwambie najisikia vibaya niombe nikae dirishani but kabla ya hayo ilibidi nimpange yakuwa ninaumwa malaria kali sana ili asinione mshamba, nikajiongelesha kwa sauti "Hii malaria isiponiua basi itanikomaza kiaskari[emoji1787][emoji28]" aaah wapi siumwi malaria wala nini ni ushamba tu natapika tena gari ikirudi riverse au ikiwa silencer ndio kabisa.
Baada ya hapo akaniambia "pole but vp umepima"? Nikamjibu ndio na ndio maana naenda Dar kwa mzee kutibiwa akasema poa ebwana kipindi hicho simu ilikuwa kumiliki ni mtiti uwe tajiri au mtoto watajiri la sivyo ningechukua namba ya yule binti alivyokuwa mkarimu.
Wakati sasa ananipisha niende upande wa dirishani nikajizuia kutampika nikamtapikia kuanzia kifuani mpaka mapajani tena tapiko lenye harufu kali kweli but hakujali akatoa khanga na kujifuta akanifuta na mimi tukaendelea na safari aisee.
Niliona aibu sana mana mtoto wa watu alikuwa msafi sana ilibidi gari zima watu waniangalie aisee yani namna nilivyokuwa nateseka nikisafiri nilikuwaga naona safari ndefu kama kifo ila nikipanda hiace au tax nilikuwa sitapiki sijui kwanini.
Baada ya kuzoea safari hizo nenda rudi nenda rudi hatimaye ushamba ule uliniisha nikawa naipebda sana safari ndefu.
Umesoma haraka harakahii story ni chai yenye tangawizi tupu.
et unatoka Moshi kwenda Dar halafu unapita Arusha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu kwani mabasi ya kigoma siku hizi yana mabehewa?
Au ndio tupo chitchat?
Awe na mazoea ya kusafiri hata kama hana sababu ya kumfanya asafiri..!![emoji3]Pole sana kuwa na mazoea ya kusafiri mara kwa mara itakata na pia ukisafiri usikae nyuma kaa karibu na dereva mitikisiko na mizunguko ya gari inakuwa sio mikubwa
.Ukiwa na matatizo huna budi kufuata vigezo na masharitiAwe na mazoea ya kusafiri hata kama hana sababu ya kumfanya asafiri..!![emoji3]
Mkuu hiyo yako ndogo mbona!
siku moja jioni pale ubungo kuna jamaa alikua kajaza watu kumbe ni wale wanaouza madawa huku wanaonehsa viexperiment vyao vya uongo na ukweli ili kukamata watu. Sasa akawa anauza dawa ya kusafisha tumbo mzee baba nikachukua. Asubuhi na mapema nikamix packet yote kwenye supu nikagonga kiulaini. Nikaenda kupanda bus kuelekea iringa. Sasa ile nafika mbezi nikaanza kuhisi valve zinataka kublow down ila nikajikaza ebwaana eeh kufika maili moja sasa...... sitakuja kusahau.
Hivi lilikuwa basi au treni[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]