Ushamba wa kutumia dawa

Ushamba wa kutumia dawa

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,343
Reaction score
10,799
Nilitoka Kijijini kwetu nikiwa na Miaka 18, nikiwa na Miaka 20 nikaenda kuonga jino General hospital Dodoma. Baada ya kungoa nikaandikiwa amoxicillin.. nikawa nafungua vile virangi mbili nakunyunyiza ule unga mdomoni...Aiseeee Ni chungu balaaaa nashushia na maji..nilifanya hivyo kwa Siku mbili.baadae uchungu ukazidi nikaacha.

Baadae nilifundishwa namna ya kunywa hizi antibiotics...nikikumbuka huwa nacheka Sana..

KWELI USHAMBA mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe na story jinsi ulivyotafunwa kimasihara hapo Dodoma
 
Back
Top Bottom