Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Nilitoka Kijijini kwetu nikiwa na Miaka 18, nikiwa na Miaka 20 nikaenda kuonga jino General hospital Dodoma. Baada ya kungoa nikaandikiwa amoxicillin.. nikawa nafungua vile virangi mbili nakunyunyiza ule unga mdomoni...Aiseeee Ni chungu balaaaa nashushia na maji..nilifanya hivyo kwa Siku mbili.baadae uchungu ukazidi nikaacha.
Baadae nilifundishwa namna ya kunywa hizi antibiotics...nikikumbuka huwa nacheka Sana..
KWELI USHAMBA mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae nilifundishwa namna ya kunywa hizi antibiotics...nikikumbuka huwa nacheka Sana..
KWELI USHAMBA mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app