Ushamba wa msukuma upo wapi?

Ushamba wa msukuma upo wapi?

hatujasema kuwa ni washamba ila mshiriki kampeni ya kukata mikono ya sweta kwa watu wazima.
mwanaume ukiwa na mkono wa sweta, akili zinaganda unakuwa na sifa za kijinga ukiona mtu anaumia unafurahia. ah magovinda bana! sawa geeete
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Siyo wasukuma tu na wengine wa kanda ya ziwa.
 
Ninavyo mfahamu Msukuma hufanya yafuatayo;
1- Hapendi makuu ukimchokoza anasema Kaya ya Ng'wobha nayo Kaya ili siku ipite salama.
2- Hapendi Kesi, ukimdhurumu anasema Maguzu Masese ili asipoteze muda wa kufuatilia mambo ya kesi badala yake afanye kazi.
3- Hapendi kuumiza moyo kwa Hasara iliyo tokea Akipata hasara anajipa moyo kwa kusema Jatulwa Mbiti Jitatananhaga ili aepuke matatizo.
4- Hapendi kuzikweza ukimsimanga ugenini anasema Ng'ombe Ngeni ikapamwaga na Deda wengine hapa husema don't disarrange the furniture while you still a guest. Nahuo ndo ustaarabu.
5- Ni mvumilivu hata kwenye swala la utafutaji akianza na mtaji mdogo hujipa moyo kwa kusema Bhushi bumboli bhukakwililaga mu bhutongo hapa humaanisha haba na haba kujaza kibaba.
6- Hatoi siri hovyo hovyo ukimdadisi anasema Kamwana mwambi kale Mung'oma ili kuepusha uchonganishi
7- Kipindi cha njaa huwafariji wana familia kwa kusema Shilewa shidohe bhali bhakwele ili kuwaondoa hofo akijua baada ya dhiki faraja
8- Hana roho mbaya penye watu wengi na nafasi ndogo husema Bhitogilwe bhatishitaga ili kujenga upendo na kutobaguana.
9- Hana hazira za karibu wala kukurupuka ukimchokoza anasema Akulipa welelo huku akitafakari jambo la kufanya.
10- Anajua mambo yote duniani ni ubatili na yatapita akipatwa na jambo au wakati mgumu hujipa moyo kwa kusema Ndoho tabhu
Hao ndo wasukuma ninao wafahamu hebu kama kuna Msukuma mtaje na adodoshe kommenti ya kisukuma na misemo mingine ya kisukuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Mngetafsiri jamani wavimba macho tujue tunadeal na nini hapa
 
Naomba mwenye kujua hawa waliowai kuwa viongozi wakubwa wa Chadema ni kabila gani?
Rashid Makani aliewaikua mwenyekiti taifa R.I.P.
Dr.Vicent Mashinji aliewaikuwa katibu mkuu na John Mnyika katibu mkuu wa sasa.hawa ni kabila gani.
 
Kwa mnyika haeleweki sijui mchagga au msukuma.
Ngoja waje
 
Back
Top Bottom