Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja kucheza na simba ingawa hadi kufika october suala la kuwa kamati ya mapokezi litarudi palepale kama kawaida yao

Unapiga kelele kuwa congratulated na la liga waliokula pesa za bure kutuma page 2000 za uongo na kweli kumbe gsm alishapanga kupindua mafala

simba tangu 2019 walishakuwa congratulated na Infantino hivi hawa wehuu siku wakipongezwa na Rais wa Fifa patakalika kweli?

1.jpg
 
Ona sasa hizi mbumbumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieee sless za kukosa ubingwa (in mama bocco's voice)

Ni wivu tu
 
Hatutaki screenshot za makala za kina Edo kumwembe huko Google...... Tuoneshe screenshot ya post binafsi ya huyo infantino au video yake akitoa hizo pongezi

Mnakuja na story za Google hahaha
 
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja kucheza na simba ingawa hadi kufika october suala la kuwa kamati ya mapokezi litarudi palepale kama kawaida yao

Unapiga kelele kuwa congratulated na la liga waliokula pesa za bure kutuma page 2000 za uongo na kweli kumbe gsm alishapanga kupindua mafala

simba tangu 2019 walishakuwa congratulated na Infantino hivi hawa wehuu siku wakipongezwa na Rais wa Fifa patakalika kweli?

View attachment 2269190
Hii aliongea Mwamedi, ina maana anachoongea mnakiamini kwa asilimia 100?

Bil 20 + Bil 25 = Bil 85 !
 
AS long as team haiko kwenye mikono ya majangili ya kiarabu na kisomali iko salama sana
 
Back
Top Bottom