........😊😊pole mkuu hii ndo jf wazee kuattack mtu badala ya mada, na nature ya koments huwa inategemea zaidi walichokomenti watu wa mwanzo na wengine wote tunafata mkondo, so kama mtu wa kwanza akisifia au kubaliana na mada basi komenti zote chini zitakubaliana and its vice versa ........
........kuhusu hoja yako ni kweli hata baadhi ya familia hupendelea kutoka siku ya pili yake ili kuepuka misongamano, na usalama mdogo hasa kwa watoto, lakini kwa wengi wetu ili u-feel kwamba hii ni sikukuu ni pale unapoona watu wengi na pilika za hapa na pale ndo maana watu wanarundikana beach ⛱️ , malls, arenas, cinema house(sio kwamba hwaana tv) ndo vibe la sikukuu unaliona..........
.......so hii ni kama culture coz hata watoto wanafurahi wanapotoka na kushangaa sehemu za miji na kukutana na wenzao....ni ushauri mzuri ingawa sio rahisi kuchukua coz kama huitoi familia siku za sikukuu basi uwe na uwezo kuitoa siku moja moja za kawaida, ambapo kibongobongo watu wako bize na utafutaji sio rahisi kutoka bila pushing factor kama sikukuu.....