Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Mleta Mada kama huna hela ya mtoko acha Shobo😁 fanya mambo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ulienda kutafuta nini kwenye hiyo foleni> Mbona mbinafsi hivyo? Acha roho mbaya unataka uishi mwenyewe hapa duniani mpaka uchukie binadamu wenzio?Watu bwana kujibu kwa hisia Yaani watanzania can't argue kabisa Cjui hata Km 1% know philosophy. Either way mnakera na kuleta vurugu kwa watu wengine so inanihusu hapo. Kujazana bila sababu na foleni na Hamna chochote cha maana
unaonesha unazisoma sana nyuzi zakeFalsafa kitu gani wewe, unajijaza upumbavu tu kichwani. Ndio maana huna furaha. Nyuzi zako nyingi unalalamika lalamika tu.