Ushamba wa Wabara una Ujanja kuliko Ujanja wa Wazaramo au Wapwani

Hiyo ndio Shukuran yenu kifupi tatizo lenu kubwa chuki juu yetu wazaramo kuwa wenyeji Pwani ila mtaendelea kuwa washamba mie nina Ushahidi baadhi wazee wenu kupewa Ardhi bure na wazee wetu ila leo mnajiona wajanja...
 
Ukarimu wa kutotaka migogoro ya ardhi na kuwapisheni mjenge muishi kwa amani tayari imegeuka ushamba tena? Shukrani ya punda kweli mateke
 
Je ni kweli watu wa bara walkienda chooni hutawazia udongo, magunzi na majani ya miti? Tuanzie hapo kwanza
 
Hiyo ndio Shukuran yenu kifupi tatizo lenu kubwa chuki juu yetu wazaramo kuwa wenyeji Pwani ila mtaendelea kuwa washamba mie nina Ushahidi baadhi wazee wenu kupewa Ardhi bure na wazee wetu ila leo mnajiona wajanja...
Nasikia hata kariakoo mligawa bure kwa khanjibay😂😂😂
 
Nyie washamba tu. Hata ikitokea mkamiliki ardhi yote ya dar es salaam bado ni washamba tu. WASHAMBA WAKUBWA NYIE
Ushamba ndio nini?maana kama ushamba ndio kumiliki njia zote za uchumi wa nchi,Usafiri,majumba,makampuni,biashara,kilimo,logistic,usalama,IT,Elimu,
Basi wacha tuwe washamba,daladala nyingi za dar,wamiriki ni wabara,wazaramo wa Dar,wamebaki kuwa madereva na makonda tu,sasa hv wazaramo wanakimbilia ikwilili,maana tumewafata,kerege,bagamoyo,Kibamba,Kibaha,watakwenda mpaka wakutane na ndugu zao walugulu,chalinze.
Fika Dodoma uone watu wa bara walichowafsnya wagogo,wahaya,wachaga ndio wamiriki wa biashara zote kubwa Dodoma,sasa wananunua ardhi,wagogo watabaki kama wageni
 
'khanjibay' aliyewadanganya mkaukimbia mji umeshasahau naona, endelea kugema minazi tu huwezi kumjua khanjibay [emoji23][emoji23]
Kila sehemu inawenyewe ndio maisha yetu wanadam sasa iko mnachokitaka kigumu eti Dar aina mwenyewe ndio maana yule kichaa mwenzenu aliwaeleza muendee Dodoma uko sijui wewe unasubiri nini...
 
Hizo jamii za pwani na wagogo ni jamii zisizofanya kazi kwa juhudi kwa ujumla hawuna wanachofanya mwisho wa siku jamii za wachapakazi kama wachaga ,wasukuma,wakinga,wanyakyusa,wakurya,wahaya lazima utazikuta kila sehemu zikifanya kazi na kutawala hayo maeneo!
Ushamba ndio nini?maana kama ushamba ndio kumiliki njia zote za uchumi wa nchi,Usafiri,majumba,makampuni,biashara,kilimo,logistic,usalama,IT,Elimu,
Basi wacha tuwe washamba,daladala nyingi za dar,wamiriki ni wabara,wazaramo wa Dar,wamebaki kuwa madereva na makonda tu,sasa hv wazaramo wanakimbilia ikwilili,maana tumewafata,kerege,bagamoyo,Kibamba,Kibaha,watakwenda mpaka wakutane na ndugu zao walugulu,chalinze.
Fika Dodoma uone watu wa bara walichowafsnya wagogo,wahaya,wachaga ndio wamiriki wa biashara zote kubwa Dodoma,sasa wananunua ardhi,wagogo watabaki kama wageni
 
Kila sehemu inawenyewe ndio maisha yetu wanadam sasa iko mnachokitaka kigumu eti Dar aina mwenyewe ndio maana yule kichaa mwenzenu aliwaeleza muendee Dodoma uko sijui wewe unasubiri nini...
Tumeenea duniani kote, nyie ndio mnapaswa mjiongeze angalau mfike Dom maana mnazubaa zubaa tu huko kisarawe hahahaaa
 
Wabara wanauchu na ardhi ya pwani..acha pwani iendelee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom