Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wanalipwa kwa views manake wanapokuwa wengi mtu anaingiza mtonyo
Baki na wivu wako
Sheinzy taipuBora uwe masikini lakini sio mshamba wa akili kama wewe
Mkuu ni kweli nyimbo ni mbaya sana sana,watoto wa wcb hawawezi kukuelewa maana hata mziki hawajui na wengi wao wamezaliwa miaka ya 90 hadi 2000 hapo .
Wanakula kwa baba na mama mpaka leo.usipoteze muda kubishana nao.maana wao kichwani ipo wcb tu, halafu wanataka kulazimisha watu mziki ndio huo.hata kama nyimbo mbovu na wamekopy.
Sheinzy taipu
WE JUDGE WHAT WE ARE SEEING MKUU
Sheinzy taipuSawa mama dangote mke wa anko shamte
Mleta maada sina shaka kuwa wewe ni punga kama mapunga wengine, kwakua unaumizwa sana na maamzi ya watu.Usilazimishe watu kuamini mtazamo wako.WCB ni Baba laooo, MKU** mkonyezo weeh, tulia kijiti kiingie....!!!
We nirikurupuuu xanaa.Huu pia ni ushamba tena waki lofa sana..... kwahiyo wewe ndiyo member wa kwanza kabisa kujiunga? Wewe na maxe melo nani wa kwanza kujiunga JF?
Sio nyimbo ni burudaniNi wimbo sio nyimbo
Ata audio ya baba lao ni kaliAudio ya despacito ni kali tena sana .... lakini pia hata hivyo siwezi kusema eti ndiyo wimbo bora duniani, fanbase ya wale majamaa ni kubwa sana hivyo hata kuwa na hayo maviews billions pia si kigezo.
Daaaaaaah kumbe nilinew member, ndo maana nyuzi zake hazielewekiHuu pia ni ushamba tena waki lofa sana..... kwahiyo wewe ndiyo member wa kwanza kabisa kujiunga? Wewe na maxe melo nani wa kwanza kujiunga JF?
Kalale dogo na uende shule maana umejiunga Jana jfUshamba ni mbaya sana ... punguza ushamba
Hakuna kama BABA LAO1.vocal-mbovu
2.melody-mbovu
3.lyrics-mbovu
4.video-kali
....km kweli bongo 2nawasanii wa dizaini hii nawashauri waachane na muziki wakajiunge na bongomuvi ndio kipaji chao!....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]