Ushamba wa wabongo, Viewers wa youtube si kigezo cha uzuri wa wimbo

Mkuu ni kweli nyimbo ni mbaya sana sana,watoto wa wcb hawawezi kukuelewa maana hata mziki hawajui na wengi wao wamezaliwa miaka ya 90 hadi 2000 hapo .

Wanakula kwa baba na mama mpaka leo.usipoteze muda kubishana nao.maana wao kichwani ipo wcb tu, halafu wanataka kulazimisha watu mziki ndio huo.hata kama nyimbo mbovu na wamekopy.
 
Wenzako wanalipwa kwa views manake wanapokuwa wengi mtu anaingiza mtonyo

Baki na wivu wako

Hapo ndiyo wabongo mnapoanzaga umbumbumbu sijazungumzia hela hapa...nikukumbushe tu nimezungumzia ubora wa wimbo.

Sasa wewe kwa hizo views zao wakipata hela wewe kama shabiki inakusaidia nini? Usitetee upuuzi wa hao wasanii wako ...wanaharibu mziki wa bongofleva.
 

Yani hawa praise and worship wa WCB ni misukule kabisa
 
WE JUDGE WHAT WE ARE SEEING MKUU
 
WE JUDGE WHAT WE ARE SEEING MKUU

Kwahiyo sense ni vision tu... au sio? Sikiliza audio wewe wacha tabia ya kushangaa magorofa kupitia nyimbo za daimond ... njoo mjini uje kuyaona live kama hauna nauli tutakuchangia
 
Mleta maada sina shaka kuwa wewe ni punga kama mapunga wengine, kwakua unaumizwa sana na maamzi ya watu.Usilazimishe watu kuamini mtazamo wako.WCB ni Baba laooo, MKU** mkonyezo weeh, tulia kijiti kiingie....!!!

Naona baada ya kutoka kubinuliwa makalio kwa staili ya kingedere ngedere na mumeo chibu umekuja speed chupi imekuloa..... hapa utapoteana ndugu yangu
 
1.vocal-mbovu
2.melody-mbovu
3.lyrics-mbovu
4.video-kali
....km kweli bongo 2nawasanii wa dizaini hii nawashauri waachane na muziki wakajiunge na bongomuvi ndio kipaji chao!....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kama BABA LAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…