Inaboa kwa kweli hasa ukiwa nao live uwanjani, mechi yao vs Mexico sikufaidi hata wengine walikuwa bize kupiga vuvuzela kuliko kuangalia mechi, yani waliposawazisha Mexico ikawa utulivu kidogo.
Yani wengi watalalamika mwaka huu inaboa vuvuzela inaumiza masikio, Blatter kamuheshimu Mandela na anawajua angekataza wangegoma kuja uwanjani, mana weusi wa bondeni siasa zimewajaa sana kiasi wanaona kila kitu wao ndio wapo sawa.
Noja wakitoka utaona peupe, mana wapo radhi waone marudio isidingo na generation kuliko Brazil vs Ureno live, kuna sehemu wanaonyesha public lakini wanafungua na kujaa siku Bafanabafana ikicheza tu, wakitolewa viwanja vitakuwa vyeupe.
Ni ulimbukeni na wengi ni sifa tu kushindana kuyapiga, si unajua sifa za kijinga