Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
We mzee acha kuwa unaniigaHiyo gumzo iko wapi?
Humu ndani watu mnavituko sana.We mzee acha kuwa unaniiga
Asee pacha kwa kweli mungu ampe uvumilivu.Mungu ampe nguvu na faraja Konate. Alimpoteza baba yake mwezi mmoja uliopita mzee Konate.
Comment ya nani ipo juu ya mwenzake? ๐We mzee acha kuwa unaniiga
Weka hilo gumzo mana hapo umepost video ya sarakasi tuu, bila kuonyesha hilo gumzo ili tujue kweli sarakasi limezua gumzo.Humu ndani watu mnavituko sana.
Mungu ampe nguvu na faraja Konate. Alimpoteza baba yake mwezi mmoja uliopita mzee Konate.
Ety mapacha ila Jf ukiwa Mgeni lazma uchanganyikiwe ๐๐๐Asee pacha kwa kweli mungu ampe uvumilivu.
Weka hilo gumzo mana hapo umepost video ya sarakasi tuu, bila kuonyesha hilo gumzo ili tujue kweli sarakasi limezua gumzo.
Umeelewa nilichoandika?
Ila Mbaga๐Comment ya nani ipo juu ya mwenzake? ๐
Naam mkuu ๐Ila Mbaga๐
We jamaa ujue unakuwaga comedian kimtindo sijui kama unajua Hilo๐Naam mkuu ๐
๐ JF n sehemu yangu ya burudani, sijawah kuwa serious kihvyo hapa JFWe jamaa ujue unakuwaga comedian kimtindo sijui kama unajua Hilo๐