Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Ushangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Ushangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.