Ushangiliaji wa Mayele sasa ni upotezaji wa muda

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Ushangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
 
Kuifunga Kagera Sugar anashangilia kwa dakika 3. Angeifunga Asec Mimosas angeshangilia kwa nusu saa...
 
Sheria kwani inasema kushangilia isizidi dakika ngapi?
 
Kuharibu aharibu Mayele kuteseka uteseke wewe, hebu pita hivi usituletee nuksi zako hapa
 
What is the time fact? Katumia miezi mingapi kushangilia?
 
Madhara ya kutokuwa na pesa ya kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…