Ushangiliaji wa Mayele sasa ni upotezaji wa muda

Mkuu una jazba au nawe umekosa kazi ya kukusanya anwani za makazi🤣🤣🤣

Huyu ndiye mayele. Straika wa nguvu sio wale wazee wa upande X
 
Pole kwa kuteseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja
 
 
Wivu tu kudadadeq ndo maana mmefumuliwa huko Kwa maprooh...
Piga hizo kolos
 
Hili suala lako mpelekee Putin akusaidie
 
Maoni Yako yanahitajika ..ashangiliaje ..... Kwa hiyo shida sio yeye kufungua ila mnaumia anavyotetema .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…