Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah wee bwana hii style ndio yenyewe.. Yaani mrembo awe na chuchu nzuri alafu ateteme kama Mayele hadi rahaMayele anatuharibia watoto huku mtaaani
Wajinga hawa makoloNi wivuuu tuuu
Watapata tabu sanaMAYEEEEELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Mwaka wa green and yellow huu.Watapata tabu sana
Pole kwa kuteseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]What is the time fact? Katumia miezi mingapi kushangilia?
Tutawastaafisha ligi ikiisha!Mkuu una jazba au nawe umekosa kazi ya kukusanya anwani za makazi🤣🤣🤣
Huyu ndiye mayele. Straika wa nguvu sio wale wazee wa upande X
Naunga mkono hojaKushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Unaona bhana !Kuifunga Kagera Sugar anashangilia kwa dakika 3. Angeifunga Asec Mimosas angeshangilia kwa nusu saa...
Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Hili suala lako mpelekee Putin akusaidieKushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Putin atampinga pipe huyu mleta mada na msela mavi asiye na kazi kila mda anamuwaza mayeleeHili suala lako mpelekee Putin akusaidie
Si watoto tu hadi makatekista,we hujaona?Mayele anatuharibia watoto huku mtaaani
Maoni Yako yanahitajika ..ashangiliaje ..... Kwa hiyo shida sio yeye kufungua ila mnaumia anavyotetema .....Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.