Ushangiliaji wa Mayele sasa ni upotezaji wa muda

Ushangiliaji wa Mayele sasa ni upotezaji wa muda

Inawezekana ushabiki unawafanya msinielewe nilichokusudia.
Nimesema ushangiliaji sio tatizo ila namna inayotumika sasa ya kuanza kuwaita wengine kabla ya kuanza tendo la ushangiliaji ndo tatizo, muda unapotea.
Huo ndo wivu wenyewe sasa. Mbona refa wa mchezo halalamiki?
 
Back
Top Bottom