Usharuri inahitajika: Kati ya MD na Dental surgery kozi ipi asome

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Hello Wana JF,

Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome.

Amehitimu kidato cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya pointi 6 yaani BBB.

Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental Surgery. Zaidi ameomba Medical Doctor (MD) UDSM. Na vipi pote akubaliwe kozi ipi ina mashiko zaidi hapo?

Kati ya Medicine UDSM au DDS Muhimbili.

Msaada tafadhali.

Asanteni.
 
MD ajira zake kwa sasa ni ngumu, awe tayari kutupwa porini na tamisemi. Akitaka ajira za wizara ya afya itamlazimu kukaa kitaani kwa miaka kuanzia 4. Cha kumsaidia asome Dental Surgery.

Ni ajabu leo hii zinatangazwa ajira za kujitolea kwa mkataba na MD ikiwemo.
 
Kumuita mtaalamu wa meno jina la Udaktari ni kuikosea heshima udaktari. imagine miaka mi5 unasomea jino bado mwaka mmoja wa mafunzo unasomea jino tu, ni upotevu wa muda na fedha, hiyo kozi haitakiwi kuzidi miaka mitatu kwa levo ya digrii.

Anyway soma MD.
 
Kumuita mtaalamu wa meno jina la Udaktari ni kuikosea heshima udaktari. imagine miaka mi5 unasomea jino bado mwaka mmoja wa mafunzo unasomea jino tu,ni upotevu wa muda na fedha,hiyo kozi haitakiwi kuzidi miaka mitatu kwa levo ya digrii.

Anyway soma MD.
Kaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari.

Tukirudi kwa bwana mkubwa mi naona asome hizo kozi mpya za Muhimbili Occupational therapy, Orthotics kwa sababu wataalamu hawapo na wengi hawataichagua ila between MD and Dental Surgery I am pro MD, hands down.
 
Kaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari,,.
Tukirudi kwa bwana mkubwa mi naona asome hizo kozi mpya za Muhimbili Occupational therapy, Orthotics kwa sababu wataalamu hawapo na wengi hawataichagua ila between MD and Dental Surgery I am pro MD,, hands down.

Dentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.

Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
 
Kusoma miaka mingi ni kupoteza wakati. Unaweza kusoma miaka mitatu na ukawa Dr.
 
Kama anasoma apate unafuu wa maisha aende DDS
Kama anampango wa muda mrefu apige MD
Kama anapenda Kuja kufanya kazi majuu apige izo course mpya za Rehab
 
Dentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.

Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
Dental inapesa kuliko hiyo MD.

In the US, dentists are microsurgeons specializing in teeth. Dental schools are slightly more competitive to enter than medical schools and, as in medical schools, students shoulder work loads equivalent to 26-28 undergraduate credits per semester. 1st year dental labs are measured in tenths of millimeters, and things get more exacting after that. Students who persevere earn the a DDS (Doctor of Dental Surgery) or DMD (Dental Medical Doctor) degree. Many will go on to spend 1-2 years in an optional residency (to gain experience) or specialty fellowships before entering dental practice. General dentists are trained to do almost anything that can be done with teeth, from cosmetics to orthodontics to implants, but many will refer odd or difficult cases to a specialist; for example, a root canal on a long, curved root might be referred to an endodonist, a dentist who is specially trained and equipped for complicated work inside teeth. Dentists tend to earn good money, though their student loans and overhead costs can be steep. Don't pursue dentistry if you're turned off by teeth, mouths, surgery, or micro-construction. Do consider dentistry if you want a hands-on medical specialty in a clean, well lighted workplace where your coworkers smile, emergency cases are rare, and nobody dies on the table.

By contrast, medical doctors first attend a 4-year general medical school, during which they learn about many specialties, then specialize by their choice of residency training. Depending on the specialty, residencies last 3-8 years. Different specialties offer a huge range of work conditions, challenges, and rewards, so if dentistry doesn't sound like your ticket then medical school probably has something for you.
 
Sasa jmn ka dr of medicine ajira n ngumu ivo si bora ss mtaala ubadilishwe watu tusome ili akili za kuajiriwa zisiwepo
 
We jamaa kozi inaitwa doctor of dental surgery af unasema hana hadhi ya kuitwa daktari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Miaka mitano plus 1 wa mafunzo unasomea jino eti jino, tuweni serious hiyo kozi miaka miwili inatosha kabisa kuisoma, Udaktari unahishima yake na sifa kwa watu wa MD au VM.
 
Dental inapesa kuliko hiyo MD.

In the US, dentists are microsurgeons specializing in teeth. Dental schools are slightly more competitive to enter than medical schools and, as in medical schools, students shoulder work loads equivalent to 26-28 undergraduate credits per semester. 1st year dental labs are measured in tenths of millimeters, and things get more exacting after that. Students who persevere earn the a DDS (Doctor of Dental Surgery) or DMD (Dental Medical Doctor) degree. Many will go on to spend 1-2 years in an optional residency (to gain experience) or specialty fellowships before entering dental practice. General dentists are trained to do almost anything that can be done with teeth, from cosmetics to orthodontics to implants, but many will refer odd or difficult cases to a specialist; for example, a root canal on a long, curved root might be referred to an endodonist, a dentist who is specially trained and equipped for complicated work inside teeth. Dentists tend to earn good money, though their student loans and overhead costs can be steep. Don't pursue dentistry if you're turned off by teeth, mouths, surgery, or micro-construction. Do consider dentistry if you want a hands-on medical specialty in a clean, well lighted workplace where your coworkers smile, emergency cases are rare, and nobody dies on the table.

By contrast, medical doctors first attend a 4-year general medical school, during which they learn about many specialties, then specialize by their choice of residency training. Depending on the specialty, residencies last 3-8 years. Different specialties offer a huge range of work conditions, challenges, and rewards, so if dentistry doesn't sound like your ticket then medical school probably has something for you.

Huwezi linganisha dentist na MD,
 
Miaka mitano plus 1 wa mafunzo unasomea jino eti jino,tuweni serious hiyo kozi miaka miwili inatosha kabisa kuisoma,Udaktari unahishima yake na sifa kwa watu wa MD au VM.
Siyo jino tu. Ni meno 32 ya MTU mzima na meno 20 ya mtoto na kinywa kwa ujumla. Ndo maana ana itwa Daktari ya kinywa na meno. Na siyo jino.
 
Back
Top Bottom