hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
- Thread starter
- #21
mkuuNenda veta mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuNenda veta mkuu
Hapa hatuongelei US, tupo Bongo kaa kwa kutulia andika tena.Dental inapesa kuliko hiyo MD.
In the US, dentists are microsurgeons specializing in teeth. Dental schools are slightly more competitive to enter than medical schools and, as in medical schools, students shoulder work loads equivalent to 26-28 undergraduate credits per semester. 1st year dental labs are measured in tenths of millimeters, and things get more exacting after that. Students who persevere earn the a DDS (Doctor of Dental Surgery) or DMD (Dental Medical Doctor) degree. Many will go on to spend 1-2 years in an optional residency (to gain experience) or specialty fellowships before entering dental practice. General dentists are trained to do almost anything that can be done with teeth, from cosmetics to orthodontics to implants, but many will refer odd or difficult cases to a specialist; for example, a root canal on a long, curved root might be referred to an endodonist, a dentist who is specially trained and equipped for complicated work inside teeth. Dentists tend to earn good money, though their student loans and overhead costs can be steep. Don't pursue dentistry if you're turned off by teeth, mouths, surgery, or micro-construction. Do consider dentistry if you want a hands-on medical specialty in a clean, well lighted workplace where your coworkers smile, emergency cases are rare, and nobody dies on the table.
By contrast, medical doctors first attend a 4-year general medical school, during which they learn about many specialties, then specialize by their choice of residency training. Depending on the specialty, residencies last 3-8 years. Different specialties offer a huge range of work conditions, challenges, and rewards, so if dentistry doesn't sound like your ticket then medical school probably has something for you.
Miaka mitano plus 1 wa mafunzo unasomea jino eti jino,tuweni serious hiyo kozi miaka miwili inatosha kabisa kuisoma,Udaktari unahishima yake na sifa kwa watu wa MD au VM.
Asante sana kwa ushauri wako mkuuNenda kasome DDS. Market yake ni kubwa na haichuji. Kila mwaka nafasi za hawa mabwana hua zinakua readvertised. Itachukua muda mrefu sana hadi hii course iwe saturated. Na kama unavyojua, DDS iko Muhimbili only na labda waliosoma nje.
On the other hand, MUHAS, KCMC, UDSM, CUHAS, KIUT, IFAKARA etc etc wote wanamwaga madaktari mtaani.
It’s also easy kujiajiri kama dentist tofauti na MD ambayo inabidi muwe wengi cause polyclinic inahitaji mtaji mkubwa kidogo.
Kasome DDS, MD waachie wenye wanajua watakapoenda baada ya shule.
Hii inakuwa kama kusomea procurement. Miaka mitatu unasomea kununua, kweli?Kumuita mtaalamu wa meno jina la Udaktari ni kuikosea heshima udaktari. imagine miaka mi5 unasomea jino bado mwaka mmoja wa mafunzo unasomea jino tu,ni upotevu wa muda na fedha,hiyo kozi haitakiwi kuzidi miaka mitatu kwa levo ya digrii.
Anyway soma MD.
Siyo jino tu. Ni meno 32 ya MTU mzima na meno 20 ya mtoto na kinywa kwa ujumla. Ndo maana ana itwa Daktari ya kinywa na meno. Na siyo jino.
Unachokiongea hukijuiKumuita mtaalamu wa meno jina la Udaktari ni kuikosea heshima udaktari. imagine miaka mi5 unasomea jino bado mwaka mmoja wa mafunzo unasomea jino tu,ni upotevu wa muda na fedha,hiyo kozi haitakiwi kuzidi miaka mitatu kwa levo ya digrii.
Anyway soma MD.
Mnaongea ujinga gani nyieKaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari,,.
Tukirudi kwa bwana mkubwa mi naona asome hizo kozi mpya za Muhimbili Occupational therapy, Orthotics kwa sababu wataalamu hawapo na wengi hawataichagua ila between MD and Dental Surgery I am pro MD,, hands down.
Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi nipo hapa muhimbili Unachoongea hukifahamu wewe !nyie ndo mnapoteza vijanaDentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.
Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
Unaongea kwa kuhisi au unafahamu !wewe jamaaa unaongea vitu uvijui usichukulie viti simple hvyo !wamekaaa maprofessor wameona iwekwe miaka mitano Sjui unaongea nini!Udaktari wa Meno ni Specialization , mwaka wa kwanza mpaka wa tatu MD na DDs wanasoma vitu Vyote sawa then miaka inayobaki wanaenda tofauti ! Udaktari wa meno una Ajira nzuri sababu wanaomaliza ni wachache !wewe unachukulia kwamba DDS wanasoma tu kuhusu Jino kumbe wanasoma kwanzia kwenye meno mpaka Kifuani , Magonjwa yote yanayohusu na namna yakudeal nayo pamoja na upasuaji wa magonjwa kama cleft na vitu vingine kibao! Kama hufahamu kitu Uliza maana unapotumia akili ya unachokizania utaarifu Future ya watu! MD ilikuwa na soko zamani kipindi wataalamu ni wachache hvyo MD alikuwa anauza hadi dawa yeye ndo Mtaalamu wa meno pia ila sasa hivi Wametolewa kazi ya dawa Na mtaalamu ni Mfamasia (ambayo nasoma mimi hapa Muhimbili) na kinywa ni Dental.Meno hayana tofauti ni yale yale kimuundo,kwahiyo ukiamua hata kuyasoma yote miaka miwili mingi sana,miaka 6 nimupoteza muda tu nadhani hua mnarudia mana yakusoma vinaisha.
Kwa akili zako unadhani wanaanza kusoma jino day one [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kozi zote za afya ngazi ya degree za miaka 4/5 mnaanza kubobea kwenye fani husika kuanzia mwaka wa 3. Miaka 2 ya mwanzo ni kusoma mwili wote upoje na unafanyaje kazi.Meno hayana tofauti ni yale yale kimuundo,kwahiyo ukiamua hata kuyasoma yote miaka miwili mingi sana,miaka 6 nimupoteza muda tu nadhani hua mnarudia mana yakusoma vinaisha.
Upotoshaji mkuu huu,,nimesoma MD mimi hao dentist tumesoma nao na mtihani ni mmoja tulikua tunapewa saa ingine anakuzid wewe MD,,kuanzia mwaka wa 3 wanakua idarani kwaoDentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.
Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
Fanya tafiti ya unachokisema kuhusu DDSMiaka mitano plus 1 wa mafunzo unasomea jino eti jino,tuweni serious hiyo kozi miaka miwili inatosha kabisa kuisoma,Udaktari unahishima yake na sifa kwa watu wa MD au VM.