hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Kama lengo ni ajira ya haraka soma dental lakini kama lengo lako ni kujenga career yako ya milele kasome MD.Dental surgery Hii utapata check number ya serikali.
MD utazurura kwenye bij iwe vya watu binafsi.
Umemaliza MkuuKama lengo ni ajira ya haraka soma dental lakini kama lengo lako ni kujenga career yako ya milele kasome MD.
Kaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari.Kumuita mtaalamu wa meno jina la Udaktari ni kuikosea heshima udaktari. imagine miaka mi5 unasomea jino bado mwaka mmoja wa mafunzo unasomea jino tu,ni upotevu wa muda na fedha,hiyo kozi haitakiwi kuzidi miaka mitatu kwa levo ya digrii.
Anyway soma MD.
Kaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari,,.
Tukirudi kwa bwana mkubwa mi naona asome hizo kozi mpya za Muhimbili Occupational therapy, Orthotics kwa sababu wataalamu hawapo na wengi hawataichagua ila between MD and Dental Surgery I am pro MD,, hands down.
Kusoma miaka mingi ni kupoteza wakati. Unaweza kusoma miaka mitatu na ukawa Dr.Kaka umenikumbuaha clip moja Dentist mmoja alikasirika mteja wake alipouliza uhalali wa yeye kutumia prefix Dr. wakati kasoma kuhusu meno jamaa akajibu hata sisi tunasoma miaka mitano kama madaktari,,.
Tukirudi kwa bwana mkubwa mi naona asome hizo kozi mpya za Muhimbili Occupational therapy, Orthotics kwa sababu wataalamu hawapo na wengi hawataichagua ila between MD and Dental Surgery I am pro MD,, hands down.
Dental inapesa kuliko hiyo MD.Dentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.
Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
We jamaa kozi inaitwa doctor of dental surgery af unasema hana hadhi ya kuitwa daktari ππππ.Dentist sio daktari hana hadhi wala sifa ya kuwa daktari labda awe dokita manyaunyau.
Narudia tena MD inasoko sana maeneo mengi ya kufanyia kazi.
We jamaa kozi inaitwa doctor of dental surgery af unasema hana hadhi ya kuitwa daktari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Dental inapesa kuliko hiyo MD.
In the US, dentists are microsurgeons specializing in teeth. Dental schools are slightly more competitive to enter than medical schools and, as in medical schools, students shoulder work loads equivalent to 26-28 undergraduate credits per semester. 1st year dental labs are measured in tenths of millimeters, and things get more exacting after that. Students who persevere earn the a DDS (Doctor of Dental Surgery) or DMD (Dental Medical Doctor) degree. Many will go on to spend 1-2 years in an optional residency (to gain experience) or specialty fellowships before entering dental practice. General dentists are trained to do almost anything that can be done with teeth, from cosmetics to orthodontics to implants, but many will refer odd or difficult cases to a specialist; for example, a root canal on a long, curved root might be referred to an endodonist, a dentist who is specially trained and equipped for complicated work inside teeth. Dentists tend to earn good money, though their student loans and overhead costs can be steep. Don't pursue dentistry if you're turned off by teeth, mouths, surgery, or micro-construction. Do consider dentistry if you want a hands-on medical specialty in a clean, well lighted workplace where your coworkers smile, emergency cases are rare, and nobody dies on the table.
By contrast, medical doctors first attend a 4-year general medical school, during which they learn about many specialties, then specialize by their choice of residency training. Depending on the specialty, residencies last 3-8 years. Different specialties offer a huge range of work conditions, challenges, and rewards, so if dentistry doesn't sound like your ticket then medical school probably has something for you.
Siyo jino tu. Ni meno 32 ya MTU mzima na meno 20 ya mtoto na kinywa kwa ujumla. Ndo maana ana itwa Daktari ya kinywa na meno. Na siyo jino.Miaka mitano plus 1 wa mafunzo unasomea jino eti jino,tuweni serious hiyo kozi miaka miwili inatosha kabisa kuisoma,Udaktari unahishima yake na sifa kwa watu wa MD au VM.