MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Karibu ukamate plot jiran na kwangu hapa. Na kwa jinsi uluvyo mrembo, aaah nakuahidi ntakulimia na kukuvunia kila kitu, we utakuja kubeba tu
nalima mwenyewe mkuu! niandalie eka5 nilime viaz nxt msimu!serious