ushauli jamani

mab-v

Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu la ndio kasema nisubili anichunguze nimejalibu ku2mia malafiki zangu lakini wapi atoi jibu la ndio au hapana anasema nimsubili nikituma sms ajibu ata moja nikimpigia cmu kumuuliza anasema mvivu wa kuandika sms anaongea kwa shida, au ukipiga akakwanbia atakutafuta badae akutafuti nimechoka na jibu la subili maana mwakani mungu akipenda nilitaka awe mke wangu wa ndoa je niendelee kusubili au nimuache nitafute mwingine uyu ananipotezea muda nawasilisha
 
tatizo hukutumia r wakati unamwagia sumu.
 
Sasa umeambiwa usubiri kimberembere cha nini?
Mpe muda wake, akilidhika atakujibu.

Alafu Kongosho zunguka na majukwaa mengine na wewe.
 
Chit chat Rejao kanifukuza kaleta wanasiasa hao kila nikienda kule nabanwa na mshipa, bora nikae humu humu

Sasa umeambiwa usubiri kimberembere cha nini?
Mpe muda wake, akilidhika atakujibu.

Alafu Kongosho zunguka na majukwaa mengine na wewe.
 
Kwa kweli sidhani kama amevutiwa na wewe,sio lazima akupe jibu la ndio au hapana wewe utasoma matendo yake,mi katika wakaka niliowadate sikumbuki kumwambia m2 ndio,embu jaribu kuwa kama umemneglect uone,ukiona kimya hajali tafuta mwingne,
 
mwambie ukiwa firm,sasa nakupa time frame.....baada ya muda fulani lets say miezi mitatu uwe umenipa jibu langu,halafu wewe endelea kama kawaida kuwasiliana naye,kutuma sms na kuendelea kumdodosa hapo mtaani wapi marafiki zake,muda wake wa kutoka kazini na anatumia kufanya nini spare time....hii itakupa picha halisi ya huyo dada maana nahisi unamjua kijuu juu tu,kisha baadaya hio miezi mitatu na yeye takuwa kakuchunguza vya kutosja/na wewe utakuwa tayari kwa jibu sasa akupe. ila uwe tayari mkuu hio tabia yake kuna mawili,either hujamvutia au anahitaji more persuading.......kwa vovyote kaa tayari,
 

Ukishaona vitu kama hivyo ujue hapo ni mawili..aidha hakutaki anaona huruma kukupa live au ana mwanaume wake tayar ila hataki kukuweka wazi...angekuwa na nia na wewe wala asingekufanyia vimbwanga hivyo. Angaza sehemu nyingine bro.... .anakupotezea muda tu..
 
Subiili tu lafiki, halaka ya nini? akianza kulispondi utaona laha mbona? Utafulahi sana...
 

ushauri kuna wanawake 3/4 ya wanaume unasubiri nini kutafuta demu mwingine..
 
Kajifunze kuandika kwanza meseji..............kwani wewe unaonaje?

Endelea kusubiri ndio uchunguzi wenyewe huo maana kama hauwezi fuata maelekezo madogo kama hayo utampa shida baadae.
 
Kajiulize kwanza Kama wewe ni Mbaya au FukaLa? Mapenzi ya siku hizi ni kizungu mkuti
 
Chit chat Rejao kanifukuza kaleta wanasiasa hao kila nikienda kule nabanwa na mshipa, bora nikae humu humu
Mmmh..kongosho, ndio umeamua kuja kunishtaki kwa lizzy? Mbona wanituhumu bila makosa jamani
 
Haraka ya nini kaka,unaonekana sio mvumilivu ukiambiwa usubiri subiri amalize uchunguzi wake kama una haraka waweza kuendelea kumtafuta mwingine ila kumbuka ndoa si kitu cha kukurupuka au kukutana na mtu leo ukataka mfunge ndoa kesho hapo itakula kwako, naweza kuficha makucha yangu kwa mda kidogo na nikingia kwenye ndoa nayatoa. Sasa sijui hapo ùtafanyaje utavunja ndoa au itakuwaje?
 
Duh, unataka uoe mwakani m2 mwenyewe ndo unampiga sound leo, plz be seriouz! wa2 uchunguzana kuanzia mwaka 1 mpka ata 10! we ata hajakukubalia!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…