ushauli jamani

ushauli jamani

duh,me nimependa unavyotumia l,jifunze kwanza kwanza lugha vizuli
 
Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu la ndio kasema nisubili anichunguze nimejalibu ku2mia malafiki zangu lakini wapi atoi jibu la ndio au hapana anasema nimsubili nikituma sms ajibu ata moja nikimpigia cmu kumuuliza anasema mvivu wa kuandika sms anaongea kwa shida, au ukipiga akakwanbia atakutafuta badae akutafuti nimechoka na jibu la subili maana mwakani mungu akipenda nilitaka awe mke wangu wa ndoa je niendelee kusubili au nimuache nitafute mwingine uyu ananipotezea muda nawasilisha

Miaka 50 ya UHURU....
 
fanya random sampling uwe na 3 au 4,then mwisho wa siku unakuja kufanya purposive sampling unaondoka na mmoja wao tu
 
Back
Top Bottom