Ushaur economic & reliable car

Ushaur economic & reliable car

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
1,930
Reaction score
2,401
Jamani naomba ushauri nina m 7.5 nataka gari ambalo ni economic especially kwenye mafuta then spares, lakini liwe reliable na linalouzika at the end of the day, brand iwe Toyota ntashukuru sana kwa ushauri wenu
 
tafuta toyota fielder ya mwaka 2001 yenye engine ya vvt-i na cc 1500.very economic lakini very comfortable.pia acceleration power yake nzuri sana
 
akhsante kwa ushauri wako ila fielder imekaa ki family zaidi! most of the time ni mizunguko ya hapa hapa mjini
 
Nikupe Toyota Corrola kwa 4.5 Million-iko intact na bomba kweli x2.1500 cc
Ukiitumia 6 month nitainunua kwa 3 M kwa 1 yr. nitainunua kwa 2.5M.
Lete deal.
 
akhsante kwa offer yako ila ninaomba ushauri wa gari kutoka nje
 
akhsante kwa ushauri wako ila fielder imekaa ki family zaidi! most of the time ni mizunguko ya hapa hapa mjini

fielder kweli ni gari ya family but nadhani hata kwa misele inafaa sana.but kama unataka gari ya kisela zaidi toyora starlet au toyora vitz itakua poa
 
tafuta toyota fielder ya mwaka 2001 yenye engine ya vvt-i na cc 1500.very economic lakini very comfortable.pia acceleration power yake nzuri sana

Nakuunga mkono mkuu! Ni kweli ulivyosema!
 
Back
Top Bottom