Ushaur wako ni muhimu sana kwangu ....naomben msaada wapendwa

mosbright92

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
13
Reaction score
0
napenda sana kuxomea sheria ufaul wang n gs -d,, hstry -b,, kisw -b+ na englsh -c alaf o levl pia nlpata c ya englsh
je naweza kuxomea sheria?
Vp kuhus mkopo??
Na kama cwez kuxomea sheria je n courz gan ztanifaa hasa ukzngatia n mtoto wa mtu asiyejiweza
naomben msaada wana jamii
 

hizo ..xxxx unamuandikia nani... mwendawazimu wewe...watu tuna ushauri wa maana ila kwa huu ushuzi uliouandika...subiri waje wengine...HOPELESS KABISA...ETI NDIO UWE MWANASHERIA KWA STAILI HII... DISGUSTING
 
nenda national institute of transport kuna coz ya logistic and transport management kwa marks zako utapata ila kwa sheria kama unategemea mkopo sikushauri lolote maana mwaka huu div 1 one ni nyingi
 
Kasome Edu kwa kuwa we ni mtoto wa mkulima acha swaga za sheria coz ada ni Mil 1.5 kwa vyuo vya serikari private ada ni kubwa,alafu ni miaka 4 mzumbe ndo 3 nakushauri soma BAED with planning au Administration ipo UDOM na UDSM
 
nenda national institute of transport kuna coz ya logistic and transport management kwa marks zako utapata ila kwa sheria kama unategemea mkopo sikushauri lolote maana mwaka huu div 1 one ni nyingi

Io course ina priority ya mkopo
 

jitahidi kuandika vizuri.
mkopo utapata iwapo umesoma shule za serikali toka form one hadi six.
Ila naomba nikuulize kwa nini unataka kusoma sheria? ili uwe wakili, legal officer au hakimu? nijibu then nitakushauri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…