USHAURI:5000,000,000 mapesa

USHAURI:5000,000,000 mapesa

Nevilly

Senior Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
168
Reaction score
312
kwa wale wenye expirience na pesa pesa za kgen naombeni mnisaidie kufahamu kama hii pesa bado inaendelea kutumika na kama inatumika inathamani ya shiling ngapi za kitanzania? zimbabwe-money-1640.jpgzimbabwe-money-1640.jpg?
 
Swali la msingi ni kwamba "BADO NI PESA HALALI?", kama ni halali nadhani unaweza kupata hata 20M TZS.
 
hahahahhahahaa du... am still aliv jaman cwez nkaulusu uhai wangu upolonyoke kwa tupesa uto ....ila naitaj info tu kuhusu iyo money coz natka nkachang alafu celew nmeenda kweny baadh ya buold exchange wakaniambia hawachange na hawajanpa info yoyote na hata nkiwauliza hawajui ..mmmnh end lik that
 
Zimbabwe hawatumii tena hela hiyo. wanatumia dola za marekani tu mkuu
 
Wanatumia Us Dollar au South africa Rand. Hazitumiki tena hizo.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Zimbabwean_dollar
 
Back
Top Bottom