upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 471
Technical know how not who
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usikariri kabisa ukiandika application lettee vizuri na CV ikiwa imepangwa vizuri lazima uitwe kwenye interview...Wazo zuri.
...Ila sijui kama huwa wanasoma hizo barua?
...Kigezo kikubwa siku hizi ni unamjua nani
Hakika man plan A imefeli unatazama plan BWengi wetu above 25 age approximately tubakisha miaka 55-60 yakuishi Duniani shida zanini kupelekeshana.
Fungua kibanda kako ka kuuza keki, kakibanda ka spea kaa subiri uzeeke ufe.
CV CV kama tunaishi milele.
Mkuu usikariri kabisa ukiandika application lettee vizuri na CV ikiwa imepangwa vizuri lazima uitwe kwenye interview...
Kwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtuNisikariri kitu gani?
Kwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtu
Daaah[emoji19][emoji124][emoji124]Wazo zuri.
...Ila sijui kama huwa wanasoma hizo barua?
...Kigezo kikubwa siku hizi ni unamjua nani
Mkuu nying n hadi kujuana,coz kuna kaz unaweza kuta hazijawah kutangazwa na watu wakaitwa kwenye intervie(ndo connection yenyewe hii ss, au zingne mnaitwa fresh ila mnakuja fanya interview watu washaajir watu wao mwez ushapta,so hayo mambo yapo kakaKwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtu
Ukiwa na mtazamo huo huwezi fanikiwa chochote kile..cha msingi wewe jiamini na uamini kwamba kazi fulani ndo inakusubiri wewe utaona tu mambo yanakaa fresh...Mkuu nying n hadi kujuana,coz kuna kaz unaweza kuta hazijawah kutangazwa na watu wakaitwa kwenye intervie(ndo connection yenyewe hii ss, au zingne mnaitwa fresh ila mnakuja fanya interview watu washaajir watu wao mwez ushapta,so hayo mambo yapo kaka
Sent using Samsung Galaxy S20
Ni kweli Mkuu[emoji1753][emoji1753]Ukiwa na mtazamo huo huwezi fanikiwa chochote kile..cha msingi wewe jiamini na uamini kwamba kazi fulani ndo inakusubiri wewe utaona tu mambo yanakaa fresh...
Mkuu hii imenitokea,sikujua kumbe idea unaweza kwenda kuandikisha mkataba kwa mwana sheria.Kuna mambo mengi sana katika hili chief.Kuna wadau wengi sana nimewahi kuwasikia hasa wakiongelea kuhusu baadhi ya vipindi Clouds..Wanasema Nyumba ni Choo, Malikia wa Nguvu nk ni idea za watu ambazo wametuma kama hivi sema wanakataa kisha baada ya muda wanaanza kuzitumia pasipo ridhaa yako.
Hapo huwezi ukafanya kitu kisheria sababu wakati unaandika hapakua na masharti yako.Sasa unachotakiwa kufanya ni hivi...Ukiandika Idea yako ambatanisha na Mkataba unaojulikana kwa mwanasheria wako.
Mfano:Kabla ya Idea yako kuipeleka kwenye kampuni hakikisha Luna mkataba kwanza kabla ya kuona idea yako.Mkatana unaweza kuandika Simply and Clear kwamba;
Endapo hutapendezeshwa na Idea hii basi ni wajibu wako kutoitumia sehemu yoyote ile na kama ukiitumia basi ni uvunjifu wa sheria kisha asaini Ndio au hapana kabla ya hata kuona Idea yako
Kuna wengi sana wamepigwa za macho katika hili.Idea zao nyeti zinakataliwa afu baada ya muda zinaanza kutumika pasipo ridhaa yao.Mambo kama hayo
Pole sana chiefMkuu hii imenitokea,sikujua kumbe idea unaweza kwenda kuandikisha mkataba kwa mwana sheria.
Mwanzo mambo yalienda vizuri mpaka Boss ambaye si mtanzania alikubali, mwisho wa siku yule mbongo mwenzangu akafanya ugumu wa kutokutana na wakubwa ambao walikubali na kutoa appointment.
One mistake, One goal.
Hii saikolojia ya kwamba hupati kazi hadi umjue mtu inawaharibu sana vijana kuacha kupambana eti kwa sababu hamjui mtu kwenye maofisi matokeo yake inawatia uvivu wanakaa tu nyumbani na vyeti vyao.Kwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtu