USHAURI: Achana na kutembea na CVs andika Application Letter (Barua ya kuomba kazi) kwa mwenendo huu

Wazo zuri.

...Ila sijui kama huwa wanasoma hizo barua?

...Kigezo kikubwa siku hizi ni unamjua nani
Mkuu usikariri kabisa ukiandika application lettee vizuri na CV ikiwa imepangwa vizuri lazima uitwe kwenye interview...
 
Wengi wetu above 25 age approximately tubakisha miaka 55-60 yakuishi Duniani shida zanini kupelekeshana.

Fungua kibanda kako ka kuuza keki, kakibanda ka spea kaa subiri uzeeke ufe.

CV CV kama tunaishi milele.
 
Hakika man plan A imefeli unatazama plan B

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtu
Mkuu nying n hadi kujuana,coz kuna kaz unaweza kuta hazijawah kutangazwa na watu wakaitwa kwenye intervie(ndo connection yenyewe hii ss, au zingne mnaitwa fresh ila mnakuja fanya interview watu washaajir watu wao mwez ushapta,so hayo mambo yapo kaka

Sent using Samsung Galaxy S20
 
Ukiwa na mtazamo huo huwezi fanikiwa chochote kile..cha msingi wewe jiamini na uamini kwamba kazi fulani ndo inakusubiri wewe utaona tu mambo yanakaa fresh...
 
Ukiwa na mtazamo huo huwezi fanikiwa chochote kile..cha msingi wewe jiamini na uamini kwamba kazi fulani ndo inakusubiri wewe utaona tu mambo yanakaa fresh...
Ni kweli Mkuu[emoji1753][emoji1753]

Sent using Samsung Galaxy S20
 
Mkuu hii imenitokea,sikujua kumbe idea unaweza kwenda kuandikisha mkataba kwa mwana sheria.

Mwanzo mambo yalienda vizuri mpaka Boss ambaye si mtanzania alikubali, mwisho wa siku yule mbongo mwenzangu akafanya ugumu wa kutokutana na wakubwa ambao walikubali na kutoa appointment.

One mistake, One goal.
 
Pole sana chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kupata kazi sehemu ni hadi umjue mtu
Hii saikolojia ya kwamba hupati kazi hadi umjue mtu inawaharibu sana vijana kuacha kupambana eti kwa sababu hamjui mtu kwenye maofisi matokeo yake inawatia uvivu wanakaa tu nyumbani na vyeti vyao.
Mimi kwa muda wa miaka nane nimeshafanya kazi na kampuni 5,na kwenye hizo kampuni zote hakuna mtu aliyenishika mkono nilipambana mwenyewe tu.
Sasa ningekuwa na akili kama hiyo ningekaa tu nyumbani kwa vile sina watu ninaowajua kwenye maofisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…