Ushauri: Ajira serikalini

Ushauri: Ajira serikalini

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023

Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina cheque namba?
 
Ba

Ngi acha kuvuta mdogo wangu
 
Una elimu gani kiyongozi? Yaani una barua ya kwenda kupangiwa kazi halafu unataka kwenda kuziba nafasi za wenzio? Utakosa zote!
 
Imenibidi nikatafute ili jina kule facebook

Yani lile jisuti la rangi ya kijivu, shati la kwaya ukichanganya na ukubwa wa ile tai vinaendana kabisa na lugha uliyoitumia hapa.
 
Ha
Andika Vizuri basi. Umeandika v

Andika Vizuri basi. Umeandika vibaya.
Sawa ila naona mnashindwa kuelewa(angalia maudhui)
Sitakiwi kufafanua zaidi ya hapo, kiserikali.
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Kazi gani hiyo unaenda kufanyaa maana hata wazoa taka wanaandika vizuri wakaeleweka

Andika Vizuri basi. Umeandika vibaya.
Angalia maudhui, naweza kufafanua au kuandika vizuri ila nitakuwa beyond the secret
 
Una elimu gani kiyongozi? Yaani una barua ya kwenda kupangiwa kazi halafu unataka kwenda kuziba nafasi za wenzio? Utakosa zote!
Wanaelewa zaidi watu wanaorejeshwa kazini think of that halafu urudi kwenye mada yangu utaelewa
 
Utumishi walikupaje hiyo barua kama kujieleza tu hujui,? Nmeamini wale wajinga wa darasani nao wanapataga ajira
 
Hawa ndo wasomi wanajinasibu kuwa ana degree tena kutoka UDSM. Sasa km una check No. Unatafuta ajira gani. Hiyo check No. Ulipewa na nani na kwa ajili ya nini. Yani upewe check No, bila kuajiliwa!!! Au umepewa namba ya interview wewe unadhani ni check No. Ebu iweke hapa halafu tuone ni ya kasima ipi. Vinginevyo wewe ukiajiliwa ni hamna kitu.
 
Back
Top Bottom