Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...

na hyo saikolojia ya kusema wanaume sijui wanavibamia soon itaanza kuwatafuna wenyewe....
pumbavuu......

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Duu, una kipaji cha kutunga,nadhani ukishea mawazo na mtunzi nguli wa magazeti ya udaku mtatoa kitu matata sana.
 
Mungu kamwe hajibu kitu kinyume na neno lake.Waasherati wote Mungu atawahukumu, malazi yawe safi na ndoa iheshimiwe na watu wote. Ebr 13:4
Ivyo ee?!
Mungu huyo huyo alisema zaeni mkaongezeke
Sasa tunazaaje kama hatupati utamu
 
Kwa stori ya hovyo kama hii, unamtaja pia mungu humohumo kwa utani!! Khaaaa..[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Mungu huyo huyo alisema zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…