Ushauri: Alipe kiasi gani kwa huu mkangafu wa Murano?

Ushauri: Alipe kiasi gani kwa huu mkangafu wa Murano?

Kuchakaa kwa hili gari ndani kuliko nje sio poa! Huenda ilishatumika katika matukio ya kuteka na kunyongea watu ndani! Hii gari itakuwa inanuka damu! Hata kwa mwonekano inaogopesha sio poa! Mbali na matatizo ya injini, kila kitu ndani inabidi ung'oe uweke kipya!
 
Nadhani ukiweka engine yake ukaitunza inakuwa poa zaidi kuliko kubadili aina ya engine.
Ok manaa naona kama Nissan imekuwa tatizo sana kwa mafundi wetu wa Bongo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama body nje na ndani ipo pouwa...ukinunua uweke engine na gia box mpya.

Bei ndo sijui
 
Back
Top Bottom