Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ok manaa naona kama Nissan imekuwa tatizo sana kwa mafundi wetu wa BongoNadhani ukiweka engine yake ukaitunza inakuwa poa zaidi kuliko kubadili aina ya engine.
Watu wanayo yapo barabarani miaka kwa miaka, wao wanatengenezea wapi? Nadhani tatizo linaanza kwa mmiliki.Ok manaa naona kama Nissan imekuwa tatizo sana kwa mafundi wetu wa Bongo
Sasa nimekuelewa.Watu wanayo yapo barabarani miaka kwa miaka, wao wanatengenezea wapi? Nadhani tatizo linaanza kwa mmiliki.
Hii haina tabia za old model?