PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.
Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni JF na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua BwanaJF ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa JF kama kawaida.
Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri
Note:
Bibi JF ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana JF.
View attachment 1998429re
Mrejesho