Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

beatboi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
561
Reaction score
1,356
Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma šŸ™) na hata msosi alishakula kwao.

Kuhusu maswala ya mbususu usiulize sababu ndio kipaumbele cha kwanza hicho na ililika kweli hadi zilitoka cheche kama zile za Zuchu wa Mondi šŸ˜‚, basi bwana hadi kufikia mishale flani ya night kali nikaona bora nipumzike kidogo coz dogo alinipa uhakika wa kuondoka asubuhi hivyo nikaona nivutevute muda nikiamka mishale huko niendeleze mtanange...

SASA hapa ndipo ulipo uzi wenyew, ile nimelala kininja mida ya saa 8 hivi nasikia mtu ananyofoa nywele zangu kwa nguvu huku ananisikilizia kama nimeamka au bado nimelala... na mimi kwa weledi niliamka na kumsikilizia hadi mwisho wake, basi bwana alifanikiwa kutoa nywele kidogo(huwa sinyoagi nywele mara zote huwa nazichonga tuh) akazifunga kwenye kona ya kitambaa chake kidogo(ushungi) kisha akakausha kimya. kama dakika tano mbele nikaamka zangu kama sijui chochote vile nikaenda haja ndogo nikarudi kuchakata papuchi kiroho mbaya, ilifika asubuhi akaondoka kwao kabla sijamuuliza chochote, na hapa nachat nae na natamani kumuuliza ila naogopa jinsi ya kumuanza...

Sina uhakika anataka kufanyia nini nywele zangu labda mnisaidie ndugu zangu nimuwahi kabla hajaniwahi naimani humu kuna wajuzi wa mambo ya ulozi na ndio kitu nahofia coz hawa ndugu zetu hawaelewekagi sometimes.
 
Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma [emoji120]) na hata msosi alishakula kwao.

Kuhusu maswala ya mbususu usiulize sababu ndio kipaumbele cha kwanza hicho na ililika kweli hadi zilitoka cheche kama zile za Zuchu wa Mondi [emoji23], basi bwana hadi kufikia mishale flani ya night kali nikaona bora nipumzike kidogo coz dogo alinipa uhakika wa kuondoka asubuhi hivyo nikaona nivutevute muda nikiamka mishale huko niendeleze mtanange...

SASA hapa ndipo ulipo uzi wenyew, ile nimelala kininja mida ya saa 8 hivi nasikia mtu ananyofoa nywele zangu kwa nguvu huku ananisikilizia kama nimeamka au bado nimelala... na mimi kwa weledi niliamka na kumsikilizia hadi mwisho wake, basi bwana alifanikiwa kutoa nywele kidogo(huwa sinyoagi nywele mara zote huwa nazichonga tuh) akazifunga kwenye kona ya kitambaa chake kidogo(ushungi) kisha akakausha kimya. kama dakika tano mbele nikaamka zangu kama sijui chochote vile nikaenda haja ndogo nikarudi kuchakata papuchi kiroho mbaya, ilifika asubuhi akaondoka kwao kabla sijamuuliza chochote, na hapa nachat nae na natamani kumuuliza ila naogopa jinsi ya kumuanza...

Sina uhakika anataka kufanyia nini nywele zangu labda mnisaidie ndugu zangu nimuwahi kabla hajaniwahi naimani humu kuna wajuzi wa mambo ya ulozi na ndio kitu nahofia coz hawa ndugu zetu hawaelewekagi sometimes.
Yakipita masaa 12 haujachanganyikiwa, nenda katoe sadaka.
 
Wahenga walisema akili ni nywele, hivyo kama dada anaenda kufanya ulozi basi ujue ndio ushachukuliwa akili...jiandae kuwa mtu anayeamuliwa mambo...

Kama umedinyana bila mpira, jiandae kuwa baba na hizo nywele ni sehemu ya sample ya DNA usije ukaruka kimanga ukiletewa nyuziii za mimba...
 
We jamaa yani unashindwa kujilinda kabisa.
nilikuwa tungi kidogo sasa ule muda anaangaika nikadharau nikijiambia hawezi kunifanya chochote , sasa hpa ndio nakumbuka sina lolote kama kwa nia mbaya ataniweza
 
Jinga kweli kweli yaani umeruhusuje aondoke nazo uyo aiseee anyway mpe taarifa ndugu yako moja ilipindi utakapo ibiwa akili wajue pa kuanzia we jamaa bhna.
ushauri mkuu kabla atujafika huko
 
Wahenga walisema akili ni nywele, hivyo kama dada anaenda kufanya ulozi basi ujue ndio ushachukuliwa akili...jiandae kuwa mtu anayeamuliwa mambo...

Kama umedinyana bila mpira, jiandae kuwa baba na hizo nywele ni sehemu ya sample ya DNA usije ukaruka kimanga ukiletewa nyuziii za mimba...
sasa ananiloga kwa lipi mimi pangu pakavu
 
Unaigiza ?? Nyie ndo wale mastaa wa kwenye movie, unasubiri mke abakwe ndo unapata nguvu. aiseee[emoji140][emoji140][emoji140][emoji16][emoji16][emoji16]
nilikuwa ganzi kidogo so nilimpuuzia tuh ila now nimeanza kuogopa mzee
 
Back
Top Bottom