Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Piga monde upuuzie tena.nilikuwa ganzi kidogo so nilimpuuzia tuh ila now nimeanza kuogopa mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga monde upuuzie tena.nilikuwa ganzi kidogo so nilimpuuzia tuh ila now nimeanza kuogopa mzee
Vibaya zaidi Kama hungekua hujui. Imefeli[emoji120][emoji120]nilikuwa ganzi kidogo so nilimpuuzia tuh ila now nimeanza kuogopa mzee
Akili zako na fikra NA matamanio ya kiutamu yako yote wawe kwake pekee tu vitendea kazi vingine huvihifadhi ili huko baadae ukimletea tu nyoko atajua akufanyejeamechukua zann sasa
sasa ananiloga kwa lipi mimi pangu pakavu
Endelea kudharau, kweli hawezi fanya chochote, usimuulize kuhusu hili tukio, ukifanya hivyo atatumia hili tukio kukublackmailnilikuwa tungi kidogo sasa ule muda anaangaika nikadharau nikijiambia hawezi kunifanya chochote , sasa hpa ndio nakumbuka sina lolote kama kwa nia mbaya ataniweza
Bila picha hii ni chai ya tangawiziJana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma [emoji120]) na hata msosi alishakula kwao.
Kuhusu maswala ya mbususu usiulize sababu ndio kipaumbele cha kwanza hicho na ililika kweli hadi zilitoka cheche kama zile za Zuchu wa Mondi [emoji23], basi bwana hadi kufikia mishale flani ya night kali nikaona bora nipumzike kidogo coz dogo alinipa uhakika wa kuondoka asubuhi hivyo nikaona nivutevute muda nikiamka mishale huko niendeleze mtanange...
SASA hapa ndipo ulipo uzi wenyew, ile nimelala kininja mida ya saa 8 hivi nasikia mtu ananyofoa nywele zangu kwa nguvu huku ananisikilizia kama nimeamka au bado nimelala... na mimi kwa weledi niliamka na kumsikilizia hadi mwisho wake, basi bwana alifanikiwa kutoa nywele kidogo(huwa sinyoagi nywele mara zote huwa nazichonga tuh) akazifunga kwenye kona ya kitambaa chake kidogo(ushungi) kisha akakausha kimya. kama dakika tano mbele nikaamka zangu kama sijui chochote vile nikaenda haja ndogo nikarudi kuchakata papuchi kiroho mbaya, ilifika asubuhi akaondoka kwao kabla sijamuuliza chochote, na hapa nachat nae na natamani kumuuliza ila naogopa jinsi ya kumuanza...
Sina uhakika anataka kufanyia nini nywele zangu labda mnisaidie ndugu zangu nimuwahi kabla hajaniwahi naimani humu kuna wajuzi wa mambo ya ulozi na ndio kitu nahofia coz hawa ndugu zetu hawaelewekagi sometimes.
Lazima uwe bushokekama una babu yako mganga unasaidie kumuuliza madhara yake