Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

Mwende mkapime ukimwi kwanza.kisha nawatakia mafanikio mema kwenye mapenzi yenu.
 
Kumbuka mkuu Ulishasema Bado Unampenda na Mapenzi Yako Yote Yapo kwake... Ninachojiuliza Mimi ni Kitu kimoja tu Hivi Utakujaje Kuomba ushauri Wakati Tayari Umeshatuambia Unampenda?

Na unapotuambia Iwapo tutakushauri Umrudie tukueleze kiajekiaje Hapo ni kutuonea.. Njia Ulizopitia Wewe wakati Unamtokea Ndio Hizo hizo Ambazo Unapaswa kupita huko Pale utakapohitaji Kurudi kwake.

Binafsi siwezi kukueleza Jinsi Ya Kurudi kwa kuwa sina maelezo Wala Ujanja huo, Mtu Anayefundishwa Jinsi Ya Kurudi Kwa Mpenzi ni Yule Ambaye Amesalitiwa na Kutendwa, Lakini kwako nadhani hupaswi Kuelezwa Kwa kuwa Umeshakili Mbele Ya Jukwaa Hili kuwa Mapenzi Yako Yote Yapo Kule.... Kutuambia Tukueleze Utarudi Vipi ni kujaribu Kupima Kina Cha Bahari Kwa Miguu... Ongea na Moyo wako, Simamia Maamuzi Yako daima Utaishi Katika Uhusiano Salama.

AHSANTE SANA
 
Heheheh

Huyo binti kaona muda umeenda kukukumbuka "mchezaji wake wa akiba"

Najaribu kuwaza mwenyewe hivi siku akipewa na kukuta kitanda kimeshalaliwa na wengine itakuaje? Maana kinacho mtia moyo kudunda ni Lile Neno Binti Hajasex
 
Nlichogundua kwa hawa wadada ni ivi..huwa anasharobaro wake anayempenda ila pembeni kuna mpori pori anamwekaga reserve akishapigwa chini na kipenzi chake sharo inabdi amtafute mpori pori amtulize. ..hongera kk kwa kuwa bench kwa miaka 10 nw ni zamu yako..
 
Mkuu kwanza nikupe pongezi Naona mabadiliko ya kweli kila sekta.
Back to Topic :
Mkuu kama kweli unampenda ni vizuri mkaendelea nae , je yeye anakupenda kweli kama unavyompenda ?
Je wewe muda wote huo alikuwa hataki kuwa na mahusiano au alikuweka backup tu baada ya kuona mambo sio ameamua akutafute ?
Ni vema ukatafakari kwa kina anaweza akakutana na mtu mwingine akakupotezea tena wewe.
 
Mtoa mada acha unazi,apo hamna kitu geresha tu.Akimpata type yake unakula za uso mapema tu halafu utakuja hapa tena full simanzi.
Ili kuepusha hilo Chukua..Weka..ENL
halafu uachane na huyo sungura tope chap chap!
 
nimezunguka zunguka sana nimeona wengi lakini sasa basiiii nimeamua niwe nawe baby dullayo uko wapi nimemisi ngoma zako
 

acha ufala wewe..hakuna mapenzi hapo!! kakwama alikokuwa anataka kukuangushia jumba bovu, amini nakwambia ukimuoa huyo mwanamke atakusumbua sana!!

Story yako inafanana na yangu, japo wa kwangu alirudi baada ya miaka 6...April 2006 mpaka Dec 2012! Sikumkatalia, nilimkaribisha kwangu nikagegeda wiki nzima..then baada ya hapo habari ikaisha..japo moyo ulikuwa kwake lakini sikuwa na namna nyingine!!

sasa wewe miaka 10 bado unataka ushauri, nakuonea huruma sana..hakuna mapenzi hapo!!
 



Mkuu yako inafanana na yangu aiseeee sema yeye alikuwa ananipenda toka primary ameachwa akakimbilia kwangu eti nakupenda toka utoto na mimi nikawa nimempa maigizo hayo hayo huku hakuna lolote nikawa nagegeda huku nina back up ya kuoa akasepa nikasema ahsante Mungu
 
Ngoja kwanza uchaguz upite tutamjadili lkn usisahau kuvote kwa Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…