Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

Mwende mkapime ukimwi kwanza.kisha nawatakia mafanikio mema kwenye mapenzi yenu.
 
Kumbuka mkuu Ulishasema Bado Unampenda na Mapenzi Yako Yote Yapo kwake... Ninachojiuliza Mimi ni Kitu kimoja tu Hivi Utakujaje Kuomba ushauri Wakati Tayari Umeshatuambia Unampenda?

Na unapotuambia Iwapo tutakushauri Umrudie tukueleze kiajekiaje Hapo ni kutuonea.. Njia Ulizopitia Wewe wakati Unamtokea Ndio Hizo hizo Ambazo Unapaswa kupita huko Pale utakapohitaji Kurudi kwake.

Binafsi siwezi kukueleza Jinsi Ya Kurudi kwa kuwa sina maelezo Wala Ujanja huo, Mtu Anayefundishwa Jinsi Ya Kurudi Kwa Mpenzi ni Yule Ambaye Amesalitiwa na Kutendwa, Lakini kwako nadhani hupaswi Kuelezwa Kwa kuwa Umeshakili Mbele Ya Jukwaa Hili kuwa Mapenzi Yako Yote Yapo Kule.... Kutuambia Tukueleze Utarudi Vipi ni kujaribu Kupima Kina Cha Bahari Kwa Miguu... Ongea na Moyo wako, Simamia Maamuzi Yako daima Utaishi Katika Uhusiano Salama.

AHSANTE SANA
 
Nlichogundua kwa hawa wadada ni ivi..huwa anasharobaro wake anayempenda ila pembeni kuna mpori pori anamwekaga reserve akishapigwa chini na kipenzi chake sharo inabdi amtafute mpori pori amtulize. ..hongera kk kwa kuwa bench kwa miaka 10 nw ni zamu yako..
 
Mkuu kwanza nikupe pongezi Naona mabadiliko ya kweli kila sekta.
Back to Topic :
Mkuu kama kweli unampenda ni vizuri mkaendelea nae , je yeye anakupenda kweli kama unavyompenda ?
Je wewe muda wote huo alikuwa hataki kuwa na mahusiano au alikuweka backup tu baada ya kuona mambo sio ameamua akutafute ?
Ni vema ukatafakari kwa kina anaweza akakutana na mtu mwingine akakupotezea tena wewe.
 
Mtoa mada acha unazi,apo hamna kitu geresha tu.Akimpata type yake unakula za uso mapema tu halafu utakuja hapa tena full simanzi.
Ili kuepusha hilo Chukua..Weka..ENL
halafu uachane na huyo sungura tope chap chap!
 
nimezunguka zunguka sana nimeona wengi lakini sasa basiiii nimeamua niwe nawe baby dullayo uko wapi nimemisi ngoma zako
 
Hi MMU,

Straight to the point, kuna binti nilimpenda sana na bado nampenda sana na nahisi nitaendelea kumpenda( ukweli sijui kanipa nini) kwani kila nikianglia hata contact zake moyo wangu unapata amani na furaha zaidi kabisa nikiangalia picha yake machozi hunilengalenga kwa furaha.

Ni hivi huyu binti nimemtokea mwaka 2005 ( nakumbuka ni tarehe JK anaapishwa) nikiwa nae kidato cha nne na akanikataa katu katu kwa madai kua ana mtu( ukweli nilikua namwona nae huyo B' friend wake), mwaka 2008 tulipomaliza kidato cha sita nikamtokea tena na akanikubali lakini baada ya miezi 5 akaniacha nikamdadisi sababu akakataa kabisa kusema na akafuta mawasiliano na mimi.

Baada ya miaka miwili mbeleni ie 2010 nikamtafuta tena akiwa chuoni na kwa bahati nzuri tulionana ktk chuo chake kilichopo Dar na tukazungumza kwa kirefu sana ila akasema hataki mahusiano mpaka amalize chuo hatimaye nikarudi zangu chuoni mkoani Mwanza nikaweka hitimisho kwamba ndio mwisho na simtafuti tena!

Mwaka 2013 akiwa anamalizia masomo yake ya udaktari nikawauliza marafiki zake juu yake na wakaniambia hakuwahi kuwa na mtu toka alipo maliza kidato cha nne kwa maneno hayo yakanivutia nikawambia kua mwambeni kua " still Makaura Loves her" lakini hakuoneshe any response.

Mwaka 2015 January akanitafuta hewani mwenyewe kwa simu ya kazini sikuamini na furaha ilinijaa tele na tukazungumza na hatimaye tukapeana contact na tukaaza kuzungumza siku hadi siku.

Akaniambia kua yupo na mtu lakini generall hakuna future yeyote kwa jinsi anavoona.

Kwa maneno hayo yakanikatsha tamaa na nikaamua kutowaliana nae tena.

Tarehe 15 October akanitafuta kwa kasi ya ajabu na nikafurahi sana kuwasiliana nae. Mchana wa leo akaniambia yupo tayari kwa ombi langu la miaka kumi iliyopita.

Na kibaya akaniambia ktk historia ya maisha yake hakuwahi fanya mapenzi(sex).
Historia yangu fupi, katka kipindi hiki chote mwaka 2013 ilinibidi nimtafte mtu mwingne na nikampata ila ukweli upendo upo kule kule kwa huyo alonikata mwaka 2014 tukashindwana kutokana kushindwa kuvumilia tabia yangu( sio michepuko) nami pia nikashndwa kuvumilia tabia yake( sio michepuko) ila mpaka leo ananipenda na anatamani turudiane na yupo tayari kunivumilia kwa ujumla nikaona hapana mie sintoweza hvyo tumekua normal friend na ninamsdia sana kimawzo na kiuchumi( ni mwanafunzi wa chuo).

Mwaka huu 2015 baada ya kuachana nimepata kuanguka hapa na pale na wadada wengine kutokana na kushndwa kuvumilia hisia za mwili but it was under extra due care kuepuka HIV hvyo condom nilitumia kwa hao.
Back to the topic ombi langu ni hili.

1. Je nimkubali?Ukweli bado nampenda

2. Kama swali la kwanza ni ndio.mkwa utaratibu upi?

3. Kweli ananipenda??

NATANGULIZA SHUKRANI!

acha ufala wewe..hakuna mapenzi hapo!! kakwama alikokuwa anataka kukuangushia jumba bovu, amini nakwambia ukimuoa huyo mwanamke atakusumbua sana!!

Story yako inafanana na yangu, japo wa kwangu alirudi baada ya miaka 6...April 2006 mpaka Dec 2012! Sikumkatalia, nilimkaribisha kwangu nikagegeda wiki nzima..then baada ya hapo habari ikaisha..japo moyo ulikuwa kwake lakini sikuwa na namna nyingine!!

sasa wewe miaka 10 bado unataka ushauri, nakuonea huruma sana..hakuna mapenzi hapo!!
 
acha ufala wewe..hakuna mapenzi hapo!! kakwama alikokuwa anataka kukuangushia jumba bovu, amini nakwambia ukimuoa huyo mwanamke atakusumbua sana!!

Story yako inafanana na yangu, japo wa kwangu alirudi baada ya miaka 6...April 2006 mpaka Dec 2012! Sikumkatalia, nilimkaribisha kwangu nikagegeda wiki nzima..then baada ya hapo habari ikaisha..japo moyo ulikuwa kwake lakini sikuwa na namna nyingine!!

sasa wewe miaka 10 bado unataka ushauri, nakuonea huruma sana..hakuna mapenzi hapo!!



Mkuu yako inafanana na yangu aiseeee sema yeye alikuwa ananipenda toka primary ameachwa akakimbilia kwangu eti nakupenda toka utoto na mimi nikawa nimempa maigizo hayo hayo huku hakuna lolote nikawa nagegeda huku nina back up ya kuoa akasepa nikasema ahsante Mungu
 
Ngoja kwanza uchaguz upite tutamjadili lkn usisahau kuvote kwa Lowassa
 
Back
Top Bottom