ID UMEBADILI LAKINI NNIMEKUJUA. Kwani lile tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umepona? Maana ulikuja kuomba msaada wa dawa hapa jamii F... Ulisema huwezi fanya mapenzi kwavile huwezi simamisha umme. pole sana. naona demu wako kashindwa kukuvumilia kaamua kukuacha hawezi kuwa na mwanaume ambaye sio rijali.
Bora aliyetoa cheni bandiaAlieuziwa cheni bandia katoa pesa bandia
Ikimbie zinaa usijidai kuikemia inakuzidi nguvu..Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui yupi nitaoa...but mmoja kati yao nilianisha nae mahusiano mwaka 2016 kwa wakati huo m nilikua simpend kivile....na sijawahi Fanya nae mapenzi but kutokana na upambanaji mi nimekua mbali nae kwa miezi 4,Na sasa anadai eti tuachane kwa sababu mi nipo mbali na mwanaume aliyemtoa Bikra amemrudia na kikubwa eti "kabla hatujaachana rasmi in mpaka nifanye nae mapenzi" yaani eti Akishanipa penzi lake nisimtafute tena eti kua anaona atajisikia vibaya kisa alinihaidi atakua mke..na eti sijala chochote chake so anaona akinipa penz lake kama pension ya mahusiano yetu.
Anaamini nampenda sana tena sana wakati mi upande wangu nilikua namvutia tyme tu..but shida yangu no kumgegeda but alivyosema ananipa penzi ndo tuachane hapo ndo pananiogopesha...so ushauri wenu tafadhari....[emoji101][emoji120]..kumbuka hajala hata jero langu... But nimempa maneno mengi ya inspiration juu yake kama na future hivi...pia povu na kucoment ujinga sitaki...kama unaona haikuhusu sorry Fyekelea Mbali
Nikusingizie ili nipate nini kaka. kwann hutaki kujikubali na hali yako? jikubali kwanza then taratibu ukila vizuri, mazoezi ya kutosha na kumuomba mungu.. unaweza pata hizo nguvu za kiume na kuweza ksimamisha huo uume na huyo demu atakurudia tu.Acha Kunisingizia
Kijana una matatizo wwNikusingizie ili nipate nini kaka. kwann hutaki kujikubali na hali yako? jikubali kwanza then taratibu ukila vizuri, mazoezi ya kutosha na kumuomba mungu.. unaweza pata hizo nguvu za kiume na kuweza ksimamisha huo uume na huyo demu atakurudia tu.
Wakawake 7 na wote kawaahidi ndoa, kipimo tosha kuwa ni mvulana na sio mwanaume.Kama wewe ni Mwanaume Piga chini hiyo ofa ya Papuchi, kama wewe ni Mvulana Tafuna Papuchi!
point kubwa, ni ujinga kuchomeka kila mahaliTunza mwili wako kijana, sio kila mtu anafaa kuvuliwa nguo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe kuna pensheni hadi kwenye masuala ya kugegeda [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mwanaume utakuwaje na wanawake wote hao 7, huo ufisadi wa kiwango cha juu
ana matatizo ya nguvu ya kiume huyo.. Hasimamishi. kwenye ID yake nyingine alikuwa naomba msaada wakupatiwa dawa maana anaogopa KUACHWA NA DEMU WAKE[/QUOTED ]
Iseme hio ID
Ujinga Tu Umekutawala Bichwa Maji Wewe