Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... đź’‘

Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... đź’‘

ID UMEBADILI LAKINI NNIMEKUJUA. Kwani lile tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umepona? Maana ulikuja kuomba msaada wa dawa hapa jamii F... Ulisema huwezi fanya mapenzi kwavile huwezi simamisha umme. pole sana. naona demu wako kashindwa kukuvumilia kaamua kukuacha hawezi kuwa na mwanaume ambaye sio rijali.

Acha Kunisingizia
 
Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui yupi nitaoa...but mmoja kati yao nilianisha nae mahusiano mwaka 2016 kwa wakati huo m nilikua simpend kivile....na sijawahi Fanya nae mapenzi but kutokana na upambanaji mi nimekua mbali nae kwa miezi 4,Na sasa anadai eti tuachane kwa sababu mi nipo mbali na mwanaume aliyemtoa Bikra amemrudia na kikubwa eti "kabla hatujaachana rasmi in mpaka nifanye nae mapenzi" yaani eti Akishanipa penzi lake nisimtafute tena eti kua anaona atajisikia vibaya kisa alinihaidi atakua mke..na eti sijala chochote chake so anaona akinipa penz lake kama pension ya mahusiano yetu.

Anaamini nampenda sana tena sana wakati mi upande wangu nilikua namvutia tyme tu..but shida yangu no kumgegeda but alivyosema ananipa penzi ndo tuachane hapo ndo pananiogopesha...so ushauri wenu tafadhari....[emoji101][emoji120]..kumbuka hajala hata jero langu... But nimempa maneno mengi ya inspiration juu yake kama na future hivi...pia povu na kucoment ujinga sitaki...kama unaona haikuhusu sorry Fyekelea Mbali
Ikimbie zinaa usijidai kuikemia inakuzidi nguvu..
 
Huyo atakuwa wa kawaida ndio maana unamletea, kama angekuwa na fungu mbili
 
Acha Kunisingizia
Nikusingizie ili nipate nini kaka. kwann hutaki kujikubali na hali yako? jikubali kwanza then taratibu ukila vizuri, mazoezi ya kutosha na kumuomba mungu.. unaweza pata hizo nguvu za kiume na kuweza ksimamisha huo uume na huyo demu atakurudia tu.
 
Nikusingizie ili nipate nini kaka. kwann hutaki kujikubali na hali yako? jikubali kwanza then taratibu ukila vizuri, mazoezi ya kutosha na kumuomba mungu.. unaweza pata hizo nguvu za kiume na kuweza ksimamisha huo uume na huyo demu atakurudia tu.
Kijana una matatizo ww
 
Kwa dizaini hii ngwengwe itachukua mda sana kutokomea. "Nakupa penzi then kila mtu achukue 50 zake"...
 
Unawapotezea mda wadada wa watu kwa ahadi zako za kijinga! 7 wote wa nini? Wakati hata mmoja kumla unataka tukushauri
 
Hivi mwanaume utakuwaje na wanawake wote hao 7, huo ufisadi wa kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom