Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... đź’‘

Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... đź’‘

Anti-Hacker

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
803
Reaction score
1,233
Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui yupi nitaoa...but mmoja kati yao nilianisha nae mahusiano mwaka 2016 kwa wakati huo m nilikua simpend kivile....na sijawahi Fanya nae mapenzi but kutokana na upambanaji mi nimekua mbali nae kwa miezi 4,Na sasa anadai eti tuachane kwa sababu mi nipo mbali na mwanaume aliyemtoa Bikra amemrudia na kikubwa eti "kabla hatujaachana rasmi in mpaka nifanye nae mapenzi" yaani eti Akishanipa penzi lake nisimtafute tena eti kua anaona atajisikia vibaya kisa alinihaidi atakua mke..na eti sijala chochote chake so anaona akinipa penz lake kama pension ya mahusiano yetu.

Anaamini nampenda sana tena sana wakati mi upande wangu nilikua namvutia tyme tu..but shida yangu no kumgegeda but alivyosema ananipa penzi ndo tuachane hapo ndo pananiogopesha...so ushauri wenu tafadhari....👂🙏..kumbuka hajala hata jero langu... But nimempa maneno mengi ya inspiration juu yake kama na future hivi...pia povu na kucoment ujinga sitaki...kama unaona haikuhusu sorry Fyekelea Mbali
 
Nimekosa cha kukushauri, maana dhamira yao haikuwa nzuri kwake na yeye hana dhamira nzuri nawe.

Halafu nilichoweza kubaini ulikuwa kimahusiano na binti chini ya miaka 20 yupo foolish age mwanamke mkubwa hana wenge za hivyo.
 
Ulidhamiria kumdinya long kitambo! Kama dhamira hii bado imestawi chuma mboga Kisela!
Kama hisia zimenyauka basi timua mbio kama mkoloni aliyeshushiwa kisago na kibanga kisha kutoka nduki!!
 
Achana na Free papuchi ,ziogope km ukoma.


Zimetafunwa na Yeast + Virus ziogopeni, hamnaga cha Bure!!

Nisawa demu aweke tangazo.lakutafuta Me humu wa kumliwaza /kumpozaa ili hali hayupo tayar kupima ..alafu umkimbilie ovyo ovyoooo, umle ,kesho na kesho kutwa Hapatikan ktk simu.

Utaimba poo
 
Achana na Free papuchi ,ziogope km ukoma.


Zimetafunwa na Yeast + Virus ziogopeni, hamnaga cha Bure!!

Nisawa demu aweke tangazo.lakutafuta Me humu wa kumliwaza /kumpozaa ili hali hayupo tayar kupima ..alafu umkimbilie ovyo ovyoooo, umle ,kesho na kesho kutwa Hapatikan ktk simu.

Utaimba poo
Thanks kijana mwenzangu
 
Back
Top Bottom