Ushauri: Anadai Akishanipa penzi lake tuachane... 💑

Nimekosa cha kukushauri, maana dhamira yao haikuwa nzuri kwake na yeye hana dhamira nzuri nawe.

Halafu nilichoweza kubaini ulikuwa kimahusiano na binti chini ya miaka 20 yupo foolish age mwanamke mkubwa hana wenge za hivyo.

Ana 22 yrs
 
Huna hela mkuu na demu kashakuona mchovu huwezi kumgegeda vizuri
Ukimzoesha dem hela atakufanya ATM...so hilo hua naepuka sana...kwa kumfanya aamini Mimi namalengo juu yake... Pia labda hill la kuniona mchovu but naogopa asije kua anamimba ya wengine
 
Kuna mwanamke ckuhz anayeangalia mwanaume mwenye malengo??hao walikufaga kwenye majimaji war
 
But naona nikiicha kama atanidharau vile
atakudharau nini sasa.... alafu hii mentality ya baadhi ya wanaume eti usipomgegeda demu atakudharau huwa inaniacha hoi sana

siyo kila papuchi ni yakugegeda mkuu bora demu akudharau ila ww siunajijua kuwa ni rijali sasa hapo kuna tatizo gani
 
Nimekupata mkuu😡
 
Mkuu nenda kajilie ji bwawa hilo ,

Samahan kidg kutoka nje ya mada ila wanawake wa kagera na bukoba wana mabwawa ya mtera
 
Back
Top Bottom